Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mbona mbowe mnamuona adui kisa tetesi za huhamia chaumaThere is no permanent Enemy in Politics !
Mbona mbowe mnamuona adui kisa tetesi za huhamia chaumaThere is no permanent Enemy in Politics !
Bc mtulie pia mbowe akienda chauma, mana nae n projectNa kila Project inakuwa crafted with goal and deliverables, now if he delivered, where was a problem.
Ni mawazo tu, ila kuna wanaoona kuwa CCM inabadilika kwa uelekeo ule wa upinzani.Vyama visivyo na malengo, hivi ndiyo vinakwamisha vuguvugu la mabadiliko nchini.
Huwezi kuiondoa CCM madarakani katika mazingira haya ya uchaguzi - Sahau.
Bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi & Katiba, CCM itaongoza nchi hadi uchoke.
Tunahitaji wanasiasa kama hawa.ZK ni strategist mkubwa, anajua anachokuwa anahitaji kwa wakati muafaka.
Umesema kweli. Nami sina chama, ila naunga mkono juhudi za vyama vingi. Japo binafsi naamini sana kwenye bunge la vyama vingi.Usitake kusikia TU yale unayopenda kusikia, ukweli ni kwamba Lisu ameangamiza CHADEMA as a Party. Kwenye Mikono ya Mbowe, pamoja na madhaifu yake mengine, CHADEMA was a formidable force and relevant to the Political structure of Tanzania, but now all that was built for the last 30 years are gone and gone for all. Trust me, there is no CHADEMA any more. Mimi ni Mtanzania huru ambaye sina Party affilitaion na Chama chochote but I do support the struggles for democracy.
Hapana ulitaka aongelee jukwaa lipi, ccm wamefunga gate , CDM nao ndo hivyo wameisha, so the best alternative was ACT and let us not pre-judge him. His message to the voters will speak by itself. Something is better than nothing !Mpina kumbe nae pandikizi zile kelele zote za nini ssa mjinga kabisa
He is a smart mid field player of his kind.Tunahitaji wanasiasa kama hawa.
Mbowe kama anaweza kufanya maamuzi yake , Muda ndo huu, otherwise he is going to disappear in the Political map of Tanzania. There is no Chadema any more !Mbona mbowe mnamuona adui kisa tetesi za huhamia chauma
You can call it any how, but if he is a Project, then for the last 20 Years of his dedication and noble service to Chadema , then he isa good Project and is worthy this name.Bc mtulie pia mbowe akienda chauma, mana nae n project
Wengine ni wakina nani?Nyie wengine mnazani kutukana na kutunushiana misuli na ccm ndio siasa,
CHADEMA inasikitisha sana, yaani inapotea katika ramani za siasa TZ na hakuna wa kuiponya. Yaani akili zote zile za wanachadema zimeishia hapa. NO ELECTION NO REFORM ndio shimo la CHADEMA.Mbowe kama anaweza kufanya maamuzi yake , Muda ndo huu, otherwise he is going to disappear in the Political map of Tanzania. There is no Chadema any more !
bila shaka kutakuwa na makubaliano kama ya Dk. Slaa 😀😀😀.Angepambana arudi bungeni kuliko haya maigizo
Ni kweli kabisa, lakini Chadema kwenye uchaguzi huu hawashiriki.Mpina angeenda Chadema kuongeza nguvu angekuwa amepatia sana ila hili la kwenda ACT ilikuwa sio matarajio kabisa ya wazalendo.
Wazungu wa huko nje wameichoka CCM na wanatamani kije chama kingine kwa faida yetu sisi wenyewe! labda pia wakiamini wataweza kutuvuruga zaidi tukafanana na DRC pamoja na kina Sudan.Wewe huelewi hii michezo? kinachotafutwa hapo ni kupata idadi flani ya kura za Urais zitakazowapa idadi flani ya viti maalumu vya ubunge, potentially idadi flani ya viti vya kawaida vya ubunge na most importantly, FEDHA za RUZUKU
Mpina, Zitto, wana ACT wote na hata wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba Mpina hatoweza kupata/kupewa na INEC kura za maana za hata kumsogelea mteule wa nafasi ya uRais ambaye tunamfahamu wote
Hii pia itatumika "kutakatisha" zoezi la Uchaguzi wa mwaka huu mbele ya macho ya Development Partners/Wafadhili wa bajeti na miradi yetu
Wewe kwani shoga unajionaje...kua uko sawa...kua wewe ni mwenye ccm ...kalisha mapumbu uwaze familia yako itakula nini leo...Sasa km watu wenyewe ni km ww unategemea nn
If there is no chadema and you're not a chadema member, why all this whining!Mbowe kama anaweza kufanya maamuzi yake , Muda ndo huu, otherwise he is going to disappear in the Political map of Tanzania. There is no Chadema any more !
aloo kaziYaan mtu si mwenzenu kwa miaka nenda rudi anakuja leo Kesho anakuwa bora kuliko nyote 😆
Tanzania Upinzani una safari ndefu sana
Nina uhakika tarehe 17/10 ambapo Samia anaandika barua ya kutogombea ama kujisikia vibaya kiafya akawekwa Mwingine kugombea, Mpina atarejea
Britanicca