GE2025 Luhaga Mpina apitishwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT kwa 92.3%

GE2025 Luhaga Mpina apitishwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT kwa 92.3%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Igizo lililoratibiwa na dalali mwami Zitto kavuta posho yake kuhadaa umma .
 
Kwel sifuatilii siasa mpina alishahamia ACT,
Lini iyo na ilikuaje adi akahamia ACT

Yote kwa yote Ccm ina mkono mrefu na watu km kina mpina ni mashina ya ccm yamekuja kuharibu
Polepole , mpina hao wote ni propaganda machine za Ccm zinatumiwa kuwwchanganya na kuwaondoa kufocus ktk vtu vya maana
 
Siasa za Tz ni usengerema ni bora ukarea familia yako ukajenga ukuta mrefu kwa ajiri ya familia yako

Na ndo maana watu wenye akili timamu huwa hawajihusishi na siasa na ata kura huwa hawapigi na hawajisumbui sabu wanajua siasa za Tz ni usengerema
 
Yaan mtu si mwenzenu kwa miaka nenda rudi anakuja leo Kesho anakuwa bora kuliko nyote 😆

Tanzania Upinzani una safari ndefu sana
Nina uhakika tarehe 17/10 ambapo Samia anaandika barua ya kutogombea ama kujisikia vibaya kiafya akawekwa Mwingine kugombea, Mpina atarejea

Britanicca
Ushamona mtu anaogea akiwa amelala ndio tunayaona muda huu
Samia yupo mpaka 2030
 
Yaan mtu si mwenzenu kwa miaka nenda rudi anakuja leo Kesho anakuwa bora kuliko nyote 😆

Tanzania Upinzani una safari ndefu sana
Nina uhakika tarehe 17/10 ambapo Samia anaandika barua ya kutogombea ama kujisikia vibaya kiafya akawekwa Mwingine kugombea, Mpina atarejea

Britanicca
Ngoja nitunze kumbukumbu hii
 
Yaani mtu anajiunga chamani leo, kesho anachaguliwa kugombea uraisi kupitia chama hicho. Huu ni mzaha!!!
 
Umeajuaje?
Bado ni Chama kichanga na muda wake wa maandalizi ni mchache sana labda iwe kwa miaka 5 au 10 ijayo hapo sawa wakijipanga wanaweza wakashinda ila sio kwa kushtukiza kama alivyofanya
 
Mpina kumbe nae pandikizi zile kelele zote za nini ssa mjinga kabisa
 
Kukabiliana au kucheza nao, Zitto hawajawahi kukabiliana na CCM, anajua kucheza ngoma zao na maigizo.
Nyie wengine mnazani kutukana na kutunushiana misuli na ccm ndio siasa, kumbe huko ndiko kuliko iua chadema na wengine kuishia magerezani, siasa za upinzani Tanzania zinahitaji akili sio jazba na mihemko. Chedema iko kaburini sasa na haiwezi kufufuka tena, Tundu Lisu ananyea debe sasa hiyo ndio faida yakufanya siasa bila akili.
 
Hapo zitto ana chakelea maana ameshaingiziwa mabilioni yake tayari kwaajiri ya maigizo ya democracy kwenye uchaguzi.

Madai yeye hasusii uchaguzi.
2025 hakuna uchaguzi
 
Hapo zitto ana chakelea maana ameshaingiziwa mabilioni yake tayari kwaajiri ya maigizo ya democracy kwenye uchaguzi.

Madai yeye hasusii uchaguzi.
Yes, kafanikiwa kwa kiwago kikubwa kuhusu Mhuni hasusiwi uchaguzi. Kushiriki kwa ACT ni ushindi mkubwa kwa CCM. Ama ACT wamefungua milango kwa watanzania waliopenda kushiriki uchaguzi kuwa na uhuru wa kuchagua na kugombea nafasi mbali mbali.
 
Back
Top Bottom