Kila mtu yuko huru kufikiri.Sio akili kubwa ila ni mwana CCM anayejifanya upinzani. Mpinzani wa kweli amepewa uhaini.
Afadhali Mpina kachaguliwa baada ya kumshinda mpinzani wake kwa kura nyingi, kwa lowasa chadema walitoa fomu moja tu.Kama si kama Edward Lowassa
Project
Mkuu Maalum wa chama cha ACT Wazalendo kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kwa kupata kura 559 sawa na asilimia 92.3 ya kura 610 zilizopigwa.
Aidha aliyekuwa akigombea naye nafasi hiyo, Aaron Kalikawe Aaron amepata kura 46 sawa na asilimia 7.7 ya kura.
Wajumbe wa ACT waliopiga kura walikuwa 610, waliopiga kura 610, kura halali ni 605, kura zilizokataliwa au zlizoharibika ni 5.
Katika hatua nyingine, Katibu wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo, Fatma Abdulhabib Ferej ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupitishwa na mkutano mkuu maalumu wa chama hicho.
Kabla ya kutangazwa, jina la Fereji kutajwa kuwa mgombea mwenza, lilijadiliwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya ACT Wazalendo kisha kuliwasilisha mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kwa ajili ya kuthibitisha uteuzi wake.
Katibu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ndiye aliyewasilisha jina hilo usiku wa kuamkia leo Alhamisi Agosti 7, 2025 mbele ya mkutano huo, kwa ajili ya kuwaomba wajumbe kulipitisha.
" Halmashauri Kuu inapendekeza kwenu jina la Ferej," baada ya maelezo hayo ukumbi ulilipuka kwa shangwe kwa wajumbe kwenda eneo aliloketi Ferej kumpongeza.
Baada ya maelezo ya Ado, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Bara), Isihaka Mchinjita aliwahoji wajumbe wa mkutano mkuu ambao wote waliitikia ndio wakimaanisha jina limepita.
Ferej ni mmoja wa wanawake shupavu visiwani Zanzibar, mwaka 2013 alitunukiwa tuzo ya mwanamke jasiri na serikali ya Marekani, kupitia ubalozi wake, jijini Dar es Salaam.
Hapana , hii ni strategy na Tactic nzuri kwa ACT, wao wamekuwa smart na wako flexible , siyo kama Chadema ya Lisu ambayo haishauriki wala kuambilika, na Believe me, ACT is going to become a formidable Opposition force come after October election, Wao wamesoma upepo na kutake advantage ya weaker Chadema being out of show. Mimi si mshabiki wala muumini wa ACT, but if Mpina comes to ask for my vote, I would be happy to listen and consider his appeal, and I am not alone in this country with thirsty for changes. CHADEMA it is a split Party which will never be the same again. Mtu aliyeumia zaidi ni Mbowe and his team who had fought so much and hard bleeding sweat and blood, which had been now permanently ruined by hard liner Lisu . It is very unfortunate not only to Chadema members , but also to the Nation. Commander Mbowe we know you are disappointed and heart broken , but you dont owe this Nation anything, as you did play your part in the last 20 years you have been at the helm and rest assured that you will remain in the History Books of this Nation. Bravo Bravo Bravo Commander Mbowe. My piece of Advise to CHADEMA members, reclaim back your Party and rebuild it within the foundations of its establishment, otherwise your 30 years of struggle with blood and sweat bleeding , will all be gone for nothing if you keep this hard liner leader at the helm of your Party. Going to Party B as other members are doing already, is not a best Option, but to keep fighting within your own Party to realign and regain control of your Party, and stay in the Path that will take you to the dreamed destiny. No doubt you had already built a foundation among the population, but you now risk of losing them all ! It is paining and hurting to all of us who had hoped and dreamed for a democratic society in Tanzania, and we shouldnt give up. If Plan A doesnt Work, the Alphabet has other 25 Letters !Yaan mtu si mwenzenu kwa miaka nenda rudi anakuja leo Kesho anakuwa bora kuliko nyote 😆
Tanzania Upinzani una safari ndefu sana
Nina uhakika tarehe 17/10 ambapo Samia anaandika barua ya kutogombea ama kujisikia vibaya kiafya akawekwa Mwingine kugombea, Mpina atarejea
Britanicca
Mpina alihitaji jukwaa la kusemea mawazo yake maana kwenye chama chake walitaka azibe mdomo, na yeye siyo mtu wa aina hiyo, just like Balozi HPP, hawakutaka kuendela kupata maumivu ya moyoni kama wana ccm waliowengi ambao wamekosa pa kupumulia.
Hata Mji wa Roma haukujengwa kwa siku moja, tutakuja kufika huko tunakotaka tuwe.Vyama visivyo na malengo, hivi ndiyo vinakwamisha vuguvugu la mabadiliko nchini.
Huwezi kuiondoa CCM madarakani katika mazingira haya ya uchaguzi - Sahau.
Bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi & Katiba, CCM itaongoza nchi hadi uchoke.
UpupuHapana , hii ni strategy na Tactic nzuri kwa ACT, wao wamekuwa smart na wako flexible , siyo kama Chadema ya Lisu ambayo haishauriki wala kuambilika, na Believe me, ACT is going to become a formidable Opposition force come after October election, Wao wamesoma upepo na kutake advantage ya weaker Chadema being out of show. Mimi si mshabiki wala muumini wa ACT, but if Mpina comes to ask for my vote, I would be happy to listen and consider his appeal, and I am not alone in this country with thirsty for changes. CHADEMA it is a split Party which will never be the same again. Mtu aliyeumia zaidi ni Mbowe and his team who had fought so much and hard bleeding sweat and blood, which had been now permanently ruined by hard liner Lisu . It is very unfortunate not only to Chadema members , but also to the Nation. Commander Mbowe we know you are disappointed and heart broken , but you dont owe this Nation anything, as you did play your part in the last 20 years you have been at the helm and rest assured that you will remain in the History Books of this Nation. Bravo Bravo Bravo Commander Mbowe. My piece of Advise to CHADEMA members, reclaim back your Party and rebuild it within the foundations of its establishment, otherwise your 30 years of struggle with blood and sweat bleeding , will all be gone for nothing if you keep this hard liner leader at the helm of your Party. Going to Party B as other members are doing already, is not a best Option, but to keep fighting within your own Party to realign and regain control of your Party, and stay in the Path that will take you to the dreamed destiny. No doubt you had already built a foundation among the population, but you now risk of losing them all ! It is paining and hurting to all of us who had hoped and dreamed for democratic society in Tanzania.
Wewe mpiga ramli. Huna taarifa siku hizi umekua mtu wa kuruka na upepo tu.Yaan mtu si mwenzenu kwa miaka nenda rudi anakuja leo Kesho anakuwa bora kuliko nyote 😆
Tanzania Upinzani una safari ndefu sana
Nina uhakika tarehe 17/10 ambapo Samia anaandika barua ya kutogombea ama kujisikia vibaya kiafya akawekwa Mwingine kugombea, Mpina atarejea
Britanicca
Usitake kusikia TU yale unayopenda kusikia, ukweli ni kwamba Lisu ameangamiza CHADEMA as a Party. Kwenye Mikono ya Mbowe, pamoja na madhaifu yake mengine, CHADEMA was a formidable force and relevant to the Political structure of Tanzania, but now all that was built for the last 30 years are gone and gone for all. Trust me, there is no CHADEMA any more. Mimi ni Mtanzania huru ambaye sina Party affilitaion na Chama chochote but I do support the struggles for democracy.Upupu
LOWASA arrival to CHADEMA , regardless how, it was of benefits to CHADEMA as a Party, let us be fair, considering the of number votes garnered and popularization of the Party to grass roots.Kama ilivyokuwa project, lowassa kwenda chadema na kugombea urais 😂
UpupuUsitake kusikia TU yale unayopenda kusikia, ukweli ni kwamba Lisu ameangamiza CHADEMA as a Party. Kwenye Mikono ya Mbowe, pamoja na madhaifu yake mengine, CHADEMA was a formidable force and relevant to the Political structure of Tanzania, but now all that was built for the last 30 years are gone and gone for all. Trust me, there is no CHADEMA any more. Mimi ni Mtanzania huru ambaye sina Party affilitaion na Chama chochote but I do support the struggles for democracy.
Nazungumzia kuwa project, Yeye kunufaisha chadema sijazungumziaLOWASA arrival to CHADEMA , regardless how, it was of benefits to CHADEMA as a Party, let us be fair, considering the number votes garnered and popularization of the Party to grass roots.
Yule ni Mvurugaji tu !Sio akili kubwa ila ni mwana CCM anayejifanya upinzani. Mpinzani wa kweli amepewa uhaini.
ZK ni strategist mkubwa, anajua anachokuwa anahitaji kwa wakati muafaka.Hapo zitto ana chakelea maana ameshaingiziwa mabilioni yake tayari kwaajiri ya maigizo ya democracy kwenye uchaguzi.
Madai yeye hasusii uchaguzi.