Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mtahaha sanaZile ekari 1000 za ardhi alizopora kule Morogoro ameshazirudisha?
Rudisheni hiyo 1.7 trilion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtahaha sanaZile ekari 1000 za ardhi alizopora kule Morogoro ameshazirudisha?
Huez piga vita ufisadi wakat naww ni mshirika wa mfumo wa mafisadi!! Mzalendo Assad alitolewa mbio na akakosa kaz kisa kuhoji pesa ambayo matumizi yake hayajulikan!! Uzalendo Nchi hii baado san!!Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi!
Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya,
Ni kumuunga mkono mtu huyo na kuhakikisha maisha yake yako salama!
Mpina awekewe ulinzi, la sivyo tutakuwa tumekubali kwamba, pesa zinazokuwa zikiibwa na mafisadi, kwa upande mmoja na sisi tu wamoja wao!
Mpina anasaidia sana kubainisha kwa uwazi bila kuogopa kuwataja mafisadi hao
Lakini kwa upande mwingine, anahatarisha mno maisha yake!
Kundi la mafisadi ni watu wenye umoja na wako tayari kufanya chochote juu ya mtu yeyote!
Watu kama Mpina, kwa mfumo wetu ulivyo mbovu, hapaswi kuteuliwa kuwa waziri, anapaswa awe na nafasi hii hii aliyopo ili kuwakaanga mafisadi, maana akiwa upande wa serikali, hawezi kuchangia wala kuibua uozo wowote wa serikali kwa sababu yeye anakuwa mtetezi wa serikali
Tutumie tena fedha ya nchi kifisadi kumlinda mtu mmoja anayejipigania yeye kisiasa?! Ajiondoe kwanza kwenye chama cha kifisadi.Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi!
Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya,
Ni kumuunga mkono mtu huyo na kuhakikisha maisha yake yako salama!
Mpina awekewe ulinzi, la sivyo tutakuwa tumekubali kwamba, pesa zinazokuwa zikiibwa na mafisadi, kwa upande mmoja na sisi tu wamoja wao!
Mpina anasaidia sana kubainisha kwa uwazi bila kuogopa kuwataja mafisadi hao
Lakini kwa upande mwingine, anahatarisha mno maisha yake!
Kundi la mafisadi ni watu wenye umoja na wako tayari kufanya chochote juu ya mtu yeyote!
Watu kama Mpina, kwa mfumo wetu ulivyo mbovu, hapaswi kuteuliwa kuwa waziri, anapaswa awe na nafasi hii hii aliyopo ili kuwakaanga mafisadi, maana akiwa upande wa serikali, hawezi kuchangia wala kuibua uozo wowote wa serikali kwa sababu yeye anakuwa mtetezi wa serikali
Hek 1000 wapi umesikia haruhusiwi kumiliki? Tunanza kwa hesabuZile ekari 1000 za ardhi alizopora kule Morogoro ameshazirudisha?
Mnafiki tu huyo kama Bashe huwa wanapiga kelele wakikosoa uwaziri. Ila wakiupata tu utasikia katiba ibadilishwe Rais Samia atawale milele!!. Huyo Mpina kipindi wapinzani wanadai katiba mpya aliwatolea maneno ya kejeli Leo hii kakosa uwaziri ndio ametambua katiba mpya ni muhimu??Watu kama Mpina, kwa mfumo wetu ulivyo mbovu, hapaswi kuteuliwa kuwa waziri, anapaswa awe na nafasi hii hii aliyopo ili kuwakaanga mafisadi, maana akiwa upande wa serikali, hawezi kuchangia wala kuibua uozo wowote wa serikali kwa sababu yeye anakuwa mtetezi wa serikali
Sababu ya unafiki watu wamechoka na unafiki. Yaani akiwa waziri hakuwahi sema katiba mpya ni muhimu ila Leo ndio analilia katiba bungeni. Akiwa waziri hakuwahi sema tusisamehe trillion za Makinikia ila eti Leo Hana uwaziri ndio anatoa povu kwanini serikali imesamehe trillion 300+. Inatakiwa mtu asie mnafiki ndio akosoe serikali.Una ushahidi wa hizo tuhuma?
Hivi ni kwa nini akitokea mtu akianika madudu, basi na yeye anaanza kushambuliwa?
Waliotajwa na wao mbona wako kimya kuhusu hilo?Gazeti la mwananchi lilishaandika makala juu yako wewe Luhanga Mpina mbona hujakanusha mpaka Leo kuhusu hizo ekari ulizopora Morogoro Katika kijiji cha dala
Mwezi February mwaka 2021 tarehe 24 taarifa zako zilimfikia Katibu mkuu wa wakati huo Dkt Bashiru na kuchapwa kwenye gazeti la mwananchi tarehe hiyo
Luhaga Mpina anza kutoa boriti kwenye jicho lako kwanza halafu njoo Utoe vibanzi kwenye macho ya wenzako
Uchafu uliofanya ukiwa Waziri wa mifugo unajulikana, Wewe na Rushwa ni Pete na chanda,
Zakayo kwenye biblia alikuwa mtoza ushuru na mtu tajiri wa kupitiliza, Alipoamua kubadilika na kuigeukia injili aliomba msamaha na kuwarudishia wadeni wake wote, Zakayo kwa wale aliowatoza kwa makusudi aliwarudishia mara mbili na wale wote aliowadhulumu Mali zao aliwalipa mara mbili
Luhanga Mpina wakati wa JPM wananchi wa Morogoro uliwapora ekari zaidi ya elfu moja na mpaka sasa Wanalalamika kuhusu maeneo yao
Luhanga Mpina ulichukua rushwa kwa wavuvi wakubwa ambao walipindisha sheria na kuendelea kuvua kwa nyavu zisizo na viwango kama za wavuvi wadogo lakini kwa wavuvi wadogo uliwachomea nyavu zao
Malalamiko ya wavuvi wadogo yalipelekwa mpaka kwa bosi wako kuwa unawachomea wao nyavu wakati wavuvi wakubwa unapokea rushwa na wanaendelea kuvua
Kama kweli wewe ni mzalendo rudisha hizo ekari zaidi ya elfu moja Mkoa wa Morogoro, Pia rudisha pesa zote ulizochukua kwa wavuvi wakubwa baada ya hapo nami nitaunga kambi yako ya mapambano
Tuache unafiki na tuweke siasa pembeni Luhaga Mpina ni moja ya watu walioogopwa enzi za utawala wa awamu ya tano kwa kuwa karibu na Mwenyekiti wa ccm Taifa
Kama Leo ameanzisha mapambano awarudishe watu wa Morogoro ekari alizojitwalia kinguvu nasi tumuunge mkono
Tutakuwa ni nchi ya ajabu mtu aina ya Sabaya au Makonda akajitokeza kwenye mapambano ya haki za binadamu huku wao wakiwa binafsi hawajawaomba msamaha waathirika kwa mambo waliyowatendea.
Kwa hisani ya seedfarm
CAG hakumtaja mtu jina yeye kabainisha maeneo yenye upotevu kazi ya kumtafuta muhusika ni ya vyombo vingine na kuchukua hatua stahiki,Rais mwenyewe na vyombo vyake wapo kazini na imani yangu hatua stahiki zitachukuliwa kwa kila aliyehusika sio kama yule marehemu wenu ambaye aliamua kumtimua CAG baada ya kuona amegusa maslahi yake.Waliotajwa na wao mbona wako kimya kuhusu hilo?
Lakini ni kwa nini wewe uone kawaida kwa uwizi uliotajwa kisa mtaja ana makandokando?
Unajua tofauti ya waziri na Mbunge kazi zao?Tuutathimini kwanza uwazari wake alifanya nini aliaacha legacy gani? Wabongo ni wingi wa fitina Sana, unaweza ona yote hayo ana chuki na mtu
Nimeona
mkuu wa wilaya mwngine anaambiwa hasalimii watu[emoji1787][emoji1787]
Achana na hilo juhaUpuuzi mtupu,Trillion moja mwigulu anaweza kununua ekari ngap!!
Halafu kila siku point yako hiyohiyo! Bloodfuu
Mbona alikuwa waziri au na ww hujui... Mara ya mwsho nlimwona anachoma nyavu za wavuviUnajua tofauti ya waziri na Mbunge kazi zao?
Acheni Luhaga afanye kazi yake ubunge inavyotakikana,wewe bure kabisa!
Wewe ni punga achana na mimiMbona alikuwa waziri au na ww hujui... Mara ya mwsho nlimwona anachoma nyavu za wavuvi
Ukweli ukisemwa wewe unapopoma mambo ya Ardhi! Hivi unajua ni Mawaziri wangapi wenye Ardhi kubwa hapa nchini ekari kwa ekari.Zile ekari 1000 za ardhi alizopora kule Morogoro ameshazirudisha?
Na wewe fikisha sehemu husika humu hamna ma policcmNi haki yako kulifikisha sehemu husika, ila kwa sasa yeye anaweka wazi uozo hadharani!
Toka ukalisemee mkuu
Sasa kwa akili yako hyo 1.7t aliiba mguluUpuuzi mtupu,Trillion moja mwigulu anaweza kununua ekari ngap!!
Halafu kila siku point yako hiyohiyo! Bloodfuu
Mbona unapaniki Sana..walipeni wale mliowachomea nyavu zao..wezi wakubwaWewe ni punga achana na mimi
Halina akili hilo,akili kaondoka nazo marehemu.Sasa kwa akili yako hyo 1.7t aliiba mgulu
Alipora? Wenyewe walikuwa wameenda wapi?😁😁😂😂😂Zile ekari 1000 za ardhi alizopora kule Morogoro ameshazirudisha?