Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

Kwakuwa hawagusiki na mtawala uenda kuna maslahi mapana juu Yao, hapo ngoja wafanye walio mbali na mtawala kama wale DEDs' waliofikishwa Takukuru na kuvuliwa nyazifa zao, Shida tupu nchi hii.
Una maana ndege wafananao huruka pamoja ??!
 
Mpina awekewe ulinzi,

Mpina anasaidia sana kubainisha kwa uwazi bila kuogopa kuwataja mafisadi hao

Watu kama Mpina, anapaswa awe na nafasi hii hii aliyopo ili kuwakaanga mafisadi, maana akiwa upande wa serikali, hawezi kuchangia wala kuibua uozo wowote wa serikali kwa sababu yeye anakuwa mtetezi wa serikali
Nakuunga mkono, ila 2025 hawezi kuteuliwa kugombea tena ubunge kupitia CCM, labda Chadema.

Hoja kama hii ya kumuombea mtu ulinzi, niliwahi kumuombea mtu huyu ulinzi Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze! hata hivyo haikusaidia kitu!, aliswekwa lupango, hadi Mungu alipoingilia kati ndipo Mama Akamwachia!.
p
 
ekari zenye thamani ya mil.200 NI kawaida Sana .
Tatizo sio thamani ya ile ardhi bali ni ardhi kubwa kama ile kuhodhiwa na mtu mmoja huku watu wengi pande ile husika wakiwa hawana ardhi ya kumiliki kwa kulima na kuishi !! Huo unakuwa ni Ubwanyenye 😱 !
 
Mama naye inabidi akamatwe na kuhojiwa kwanini awachukulii hatua mafisadi?
There are only two office rules :- rule number 1 - The Boss is always right, rule number 2 - when he is wrong follow rule number ONE ☝️ 💪 !
 
Sukuma gang wanateseka sana sasa wamekuwa kama wachawi kila wakilala wakiamka wanaomba mtu afe sijui wanajua ikitokea hivyo ndiyo mungu atarudi tena duniani na kutawala tena! Wanatia huruma sana.
 
Nakuunga mkono, ila 2025 hawezi kuteuliwa kugombea tena ubunge kupitia CCM, labda Chadema.

Hoja kama hii ya kumuombea mtu ulinzi, niliwahi kumuombea mtu huyu ulinzi Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze! hata hivyo haikusaidia kitu!, aliswekwa lupango, hadi Mungu alipoingilia kati ndipo Mama Akamwachia!.
p
Kuwekewa ulinzi maana yake ni pamoja na kutokuenguliwa na chama chake katika kinyang’anyiro cha kuwania ubunge kwenye Chama chake 😅 !
 
Vita aliyoianzisha huyu chief ni ngumu mno kwake, wote mnaijua CCM ilivyo wala sitaki kusema mengi.
Lakini ni lazima atokee mtu wa kusema ukweli vinginevyo we are finished !
 
We mshamba hata ripot ya CAG Hujui maana yake? Unataka watu wawajibishwe kabla ya kujibu hoja za mkaguzi? Mnawaita watu majina mabaya kwa kuhisi tu? Subirin wajibu hoJ ndo hatua zichukuliwe. Inauma sana hata kodi unalipa wewe
Nikiwa mshamba, wewe inakupunguzia nini sasa?

Punguza matatizo ya nyumbani kwako mpumbavu wewe! Jishughurishe uwee na pesa ili upunguze stress

Maneno meeengi shida huna hela! Fanya kazi acha kujihurumia, utakufa masikini wewe
 
Ni haki yako kulifikisha sehemu husika, ila kwa sasa yeye anaweka wazi uozo hadharani!

Toka ukalisemee mkuu

Umemjibu vizuri sana! Kila mtu atatoa taarifa ya kitu anachokijua. Yeye anajua habari za shamba na Mpina anajua za ufisadi! Twende!!

Na tusio na taarifa za kutoa tushadidie haki!!
 
Gazeti la mwananchi lilishaandika makala juu yako wewe Luhanga Mpina mbona hujakanusha mpaka Leo kuhusu hizo ekari ulizopora Morogoro Katika kijiji cha dala

Mwezi February mwaka 2021 tarehe 24 taarifa zako zilimfikia Katibu mkuu wa wakati huo Dkt Bashiru na kuchapwa kwenye gazeti la mwananchi tarehe hiyo

Luhaga Mpina anza kutoa boriti kwenye jicho lako kwanza halafu njoo Utoe vibanzi kwenye macho ya wenzako

Uchafu uliofanya ukiwa Waziri wa mifugo unajulikana, Wewe na Rushwa ni Pete na chanda,

Zakayo kwenye biblia alikuwa mtoza ushuru na mtu tajiri wa kupitiliza, Alipoamua kubadilika na kuigeukia injili aliomba msamaha na kuwarudishia wadeni wake wote, Zakayo kwa wale aliowatoza kwa makusudi aliwarudishia mara mbili na wale wote aliowadhulumu Mali zao aliwalipa mara mbili

Luhanga Mpina wakati wa JPM wananchi wa Morogoro uliwapora ekari zaidi ya elfu moja na mpaka sasa Wanalalamika kuhusu maeneo yao

Luhanga Mpina ulichukua rushwa kwa wavuvi wakubwa ambao walipindisha sheria na kuendelea kuvua kwa nyavu zisizo na viwango kama za wavuvi wadogo lakini kwa wavuvi wadogo uliwachomea nyavu zao

Malalamiko ya wavuvi wadogo yalipelekwa mpaka kwa bosi wako kuwa unawachomea wao nyavu wakati wavuvi wakubwa unapokea rushwa na wanaendelea kuvua

Kama kweli wewe ni mzalendo rudisha hizo ekari zaidi ya elfu moja Mkoa wa Morogoro, Pia rudisha pesa zote ulizochukua kwa wavuvi wakubwa baada ya hapo nami nitaunga kambi yako ya mapambano

Tuache unafiki na tuweke siasa pembeni Luhaga Mpina ni moja ya watu walioogopwa enzi za utawala wa awamu ya tano kwa kuwa karibu na Mwenyekiti wa ccm Taifa

Kama Leo ameanzisha mapambano awarudishe watu wa Morogoro ekari alizojitwalia kinguvu nasi tumuunge mkono

Tutakuwa ni nchi ya ajabu mtu aina ya Sabaya au Makonda akajitokeza kwenye mapambano ya haki za binadamu huku wao wakiwa binafsi hawajawaomba msamaha waathirika kwa mambo waliyowatendea.
Kwa hisani ya seedfarm
Kwahiyo ukiwa na Ekari 1000 huruhusiwi kukemea wizi wa mabilioni!!?

Bana makario, ripoti ya CAG inakwenda kujadiliwa bungeni
 
uozo wa mke wake? Mpuuuzi tu yule, mkuda, mnafki amejaa husda. kwa akili yake anajaribu kuidhalilisha serikali ya mama hatafanikiwa mshamba yule
Ni vizuri ukazikabili na kuzijajili hoja zake. Toka lini kusema ukweli juu ya uozo wa awamu hii ikawa sawa na kuidhalilisha serikali? Fikiri tena!
 
Back
Top Bottom