Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!


Kaguswa Fisadi anaekuweka mjini naona unalopokwa tu
 
Ni vizuri ukazikabili na kuzijajili hoja zake. Toka lini kusema ukweli juu ya uozo wa awamu hii ikawa sawa na kuidhalilisha serikali? Fikiri tena!
Hoja hujibiwa kwa hoja ! Au nasema uongo ndugu zangu ?!!!
 
Kwahiyo ukiwa na Ekari 1000 huruhusiwi kukemea wizi wa mabilioni!!?

Bana makario, ripoti ya CAG inakwenda kujadiliwa bungeni
Upeo wake ni mdogo saana huyo jamaa
 
Zile ekari 1000 za ardhi alizopora kule Morogoro ameshazirudisha?
Learn;
kosa moja halihalalishi lingine, come up with evidence, aliyepora asaidiwe kwenda mahamakani otherwise u are aso timu Mwingulu! #Hamtashida!
 
Yule ni msukuma..amezindikwa vizuri. Hawezi kuwaogopa hawa makajanja kina mwigulu
 
Learn;
kosa moja halihalalishi lingine, come up with evidence, aliyepora asaidiwe kwenda mahamakani otherwise u are aso timu Mwingulu! #Hamtashida!
Watanzania wengi bado ni wajinga sana mkuu
 
Tunanawajua wanasiasa wa nchi hii walivyo wanafiki wakiwa ndani wanakula na wenzao wapo kimya siku akifurushwa ndio anaona kasoro na kuanza kubwabwaja kujitia yeye ni msafi.
 
Sawa, tumekusikia. Una la kuongezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…