Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

Mpina anapambana na tumbo lake, unatakiwa awekewe ulinzi wa aina gani. Mafisadi? Hivi yule mshamba anajua hata maana ya ufisadi? Ndiyo shida ya kuwaingiza washamba na vichaa serikalini. Luhaga Mpina hana calibre ya kuwa waziri, ni vichaa walijiweka madarakani

Kaguswa Fisadi anaekuweka mjini naona unalopokwa tu
 
Ni vizuri ukazikabili na kuzijajili hoja zake. Toka lini kusema ukweli juu ya uozo wa awamu hii ikawa sawa na kuidhalilisha serikali? Fikiri tena!
Hoja hujibiwa kwa hoja ! Au nasema uongo ndugu zangu ?!!!
 
Kwahiyo ukiwa na Ekari 1000 huruhusiwi kukemea wizi wa mabilioni!!?

Bana makario, ripoti ya CAG inakwenda kujadiliwa bungeni
Upeo wake ni mdogo saana huyo jamaa
 
Zile ekari 1000 za ardhi alizopora kule Morogoro ameshazirudisha?
Learn;
kosa moja halihalalishi lingine, come up with evidence, aliyepora asaidiwe kwenda mahamakani otherwise u are aso timu Mwingulu! #Hamtashida!
 
Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi!

Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya,

Ni kumuunga mkono mtu huyo na kuhakikisha maisha yake yako salama!

Mpina awekewe ulinzi, la sivyo tutakuwa tumekubali kwamba, pesa zinazokuwa zikiibwa na mafisadi, kwa upande mmoja na sisi tu wamoja wao!

Mpina anasaidia sana kubainisha kwa uwazi bila kuogopa kuwataja mafisadi hao

Lakini kwa upande mwingine, anahatarisha mno maisha yake!

Kundi la mafisadi ni watu wenye umoja na wako tayari kufanya chochote juu ya mtu yeyote!

Watu kama Mpina, kwa mfumo wetu ulivyo mbovu, hapaswi kuteuliwa kuwa waziri, anapaswa awe na nafasi hii hii aliyopo ili kuwakaanga mafisadi, maana akiwa upande wa serikali, hawezi kuchangia wala kuibua uozo wowote wa serikali kwa sababu yeye anakuwa mtetezi wa serikali
Yule ni msukuma..amezindikwa vizuri. Hawezi kuwaogopa hawa makajanja kina mwigulu
 
Learn;
kosa moja halihalalishi lingine, come up with evidence, aliyepora asaidiwe kwenda mahamakani otherwise u are aso timu Mwingulu! #Hamtashida!
Watanzania wengi bado ni wajinga sana mkuu
 
Tunanawajua wanasiasa wa nchi hii walivyo wanafiki wakiwa ndani wanakula na wenzao wapo kimya siku akifurushwa ndio anaona kasoro na kuanza kubwabwaja kujitia yeye ni msafi.
 
Sawa mtaalam wa english.
Ila hata mimi sina maslahi kwa mtu mlopokaji mzushi hivyo mkitaka apewe ulinzi nendeni kaburini kwa mungu wenu.
Ni wapi CAG kwenye ripoti kamtaja mtu jina kwamba yeye ndio kahusika moja kwa moja zaidi kinachomsumbua ni chuki tu na kukosa uwaziri.
Sawa, tumekusikia. Una la kuongezea.
 
Back
Top Bottom