Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Kwenye siasa ndiyo mlango wao wa kupitia
 

Kuruhusu baadhi ya wageni ni hatari kwa usalama wa nchi mfano watusi loyal kwa kagame na kuna watusi wengi Tanzania.ila mtusi au mtu yoyote kuwa mtanzania haina shida na wapo wengi tu.
 
Kwenye vyama vya siasa hawatakubali maana kule kwenye chama chao huenda ndo wamejaa sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Rudi kwenu Rwanda..mkuu
 
C

Hapo Umewataja
0. Marehemu jiwe
1. Bwana kuoga pale byotii
2. Bi chakoNiChako
3. Bwana kigoma
Mkuu wangu weee hawa siyo, hawa ni Watanganyika kabisaaa.
Hawa wote wana vitambulisho halali vya nida, pasipoti zile kubwa kubwa zile siyo hizi zenu za kijani, na wamenifundisha uchumi na nini sijui pale chuo cha jalalani.

PS
Nikutonye tu kuwa, siku hizi majaji na mahakimu wote wa Tanganyika wamefungwa mikono kutotoa dhamana kwa nyie msiounga juhudi mkono hata kama dhamana yako iko wazi.
 
A fallacy of generalization rendered your entire argument illogical. Worse enough you can't substantiate any of your claim empirically, that each and every Tutsi in Tanzania has an allegiance to Rwanda.

You can't substantiate that.​
 
Regardless, all non-citizens should be both removed from power and evacuated from our country.
Agreed.

Non-citizens and quislings should be removed from power, evenly tried and deported if possible. Unfortunately, not every Tutsi is Rwandese. Some are Tanzanian born, and are called Nyambo and Hangaza.

You deal with that.​
 
Inatakiwa azimwe ni kirusi kwa usalama wa taifa
asikilizwe huenda akawa na hoja chamsingi awe analeta ushahidi..kichaa sio wakuuliwa anaweza kuongea maneno zaidi ya mia halafu mawili ukiyazingatia yakawa na maana napia yakakukomboa wewe ulieacha muda wako ukamsikiliza yeye, kwahyo tusiwawauwe vichaa kwani ni sehem yao ya kufikisha ujumbe.
 
Nyie ni malofa na wapumbavu, mnaleta stori za kusadikika hamna mnachowaza zaidi ya ukabila
 
Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Mkuu hata kama unanufaika sasa hivi kumbuka kuwa utakufa na kitabaki kizazi chako
 
A fallacy of generalization rendered your entire argument illogical. Worse enough you can't substantiate any of your claim empirically, that each and every Tutsi in Tanzania has an allegiance to Rwanda.

You can't substantiate that.​
Let me share this fact with you. Not only Tutsis, every foreigner coming in Tanganyika especially from geographically neighbours is on the loot.
We have had Tutsis in political parties, in our borders and in deed in top decision making positions who undermine our country refer TPDF commander statement. I strong believe you don't have intelligence privileges than our own commander.
 
Wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu sana kuwahi kuwepo nchini Tanzania.
 
Ujinga at its best,hicho kinachoitwa Katiba Mpya ndio kitakusaidia nini?
Mjinga ni wewe usiyeelewa maana ya katiba bora. Unadhani uchawa ndiyo njia bora ya kuishi? Na kizazi chako kitaishi kwa kutegemea uchawa siku ukifa, au huelewi kwamba kukiwa na katiba bora ndiyo itawasaidia na wao waje kuishi maisha bora baada wewe chawa mbobezi kufa?
 
Uchawa ndio nini? ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
So now it's not only the Tutsis, but every foreigner. More accusations, zero facts ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Skedaddle dude, you're wasting my time.​
 
So now it's not only the Tutsis, but every foreigner. More accusations, zero facts ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Skedaddle dude, you're wasting my time.​
In this age of information you don't understand how Tanzania is looted and plundered by foreigners? Are you really in the country?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ