Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kwenye siasa ndiyo mlango wao wa kupitiaKwenze vyama vya siasa ndo pakuanzia huko ndo wahamiaji haramu,vibaka na mafya wapo huko, wanaanzia maeneo ya mipakani mfano unakuta mtu ni mjaluo eti kapewa uenyekiti wa kijiji..halafu tuje serikalini..Kadri miaka inavosonga tutashindwa kulidhibit maana wewe mwenyewe unaenda kufanya hyo operation nawewe unajikuta ni muhamiaji kwahyo inakuwa haina uzito..