Watajwe kwa sababu sasa hivi baraza la mawaziri lote pamoja na rais mwenyewe wamekuwa suspect.Inashangaza ni kwanini hawatajwi !!
Kama hawatajwi basi kale kamsemo ka wajomba zangu katakuwa na nguvu ya hoja “ rumours is carried by haters …. !
Watajwe ili nao wapate kujitetea !
Maana wapo watu wamezaliwa miaka ya 1950 huko lakini wakitaka passports wanaambiwa ulete na cheti cha kuzaliwa cha Baba ! 😳😱😅
Mnyarwanda kwa maana ana uraia wa Rwanda na hana uraia wa Tanzania?Naibu waziri mkuu ni Mnyarwanda
Watajwe watajwe tu serikali nzima imepakwa tope mpaka watu hawa watajwe tuhakiki habari vizuri.Cdf ndio alitakiwa awataje
Kwa taarifa rasmi hakuna vetting inayofanyika kumpata Raisi tokea tupate Uhuru, ni utashi wa kisiasa TU unatumika,Ni aibu kubwa kama taifa kuendelea kusema uzembe wetu hadharani!!
Wangeshughulika nalo kimya kimya kijasusi kuliko kuja kwa wananchi na kelele kama hizi hii inaonyesha taasisi zifuatazo ni dhaifu!
1.uhamiaji2.Vetting 3. jeshi kwa ujumla yaani typo uchi kabisa!
Hatari sana mkuu!Kwa taarifa rasmi hakuna vetting inayofanyika kumpata Raisi tokea tupate Uhuru, ni utashi wa kisiasa TU unatumika,
Kama tz kungekua na vetting hapa Nyerere asinge qualify kuwa president
BITEKOWengine ni wakubwa sana kule benki kubwaa ya watanganyika
Yule Rais mzilankende aliyevutishwa si alikuwa mrundi
Kwani chui jike ni mtanzania yule?
Yule bibi profesa asiyejua kutema yai
Na huyu anayetaka kuishi muda mrefu mliyemtemesha mzigo juzi
Samia, maana ni mzanzibari.Sasa kati ya Samia na Mpina nani sio raia?
Refer hotuba ya CDF kijana acha kukurupukaMpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Hakuna kitu kama hicho !Watajwe kwa sababu sasa hivi baraza la mawaziri lote pamoja na rais mwenyewe wamekuwa suspect.
Zanzibar na Tanganyika ziliungana mwaka 1964 ndipo ilipopatikana Nchi inaitwa Tanzania 🇹🇿 !Samia, maana ni mzanzibari.
Hapana sidhani bali alimaanisha akina Doto Biteko of which ni kweliHapa anayezungumziwa ni Samia
mhhh !Hapana sidhani bali alimaanisha akina Doto Biteko of which ni kweli
Na ndio maana Mr clean alikuja na sera za uwazi na ukweli, una jua ni kwanini,Hatari sana mkuu!
Sasa idara inafanya nini haswa ilipaswa katiba mpya iandikwe miaka 15 iliyopita hasta kipindi Cha mkapa!!
Kama Hali IPO hivyo hakuna haha ya kujiita sisi ni taifa la maana yaani tuna mambo ya hovyo kishenzi aiseh!!
Mangungu mbatu mtanganyika aliuza nchi kweupe kwa akina Karl Peter wa Ujerumani kwa mambo ni aibu hata kusimulia.Yule wa kilimo au
Kwani wewe ni wa nchi gani?Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Kwani hela anazolalamikia zinaibwa zinapelekwa nje ya nchi?This is an echo chamber of fear and warmongering, coming at a time when the entire regional security architecture is too delicate. And Mpina is politicking and stocking flames of hate for political expediency.
Tutsis have been living in Tanzania even before the coming of Paul Kagame. Some of them are loyal citizens, some of them are disloyal.
If we follow this chauvinistic rabbit hole of we'll discover a bitter truth that, even Mkapa was born in Mozambique.
Tunadanganywa aiseh!!Na ndio maana Mr clean alikuja na sera za uwazi na ukweli, una jua ni kwanini,
Tokea awamu ya 1 serikali imekuwa ikiwalisha wananchi wake habari za uongo.