Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Inashangaza ni kwanini hawatajwi !!
Kama hawatajwi basi kale kamsemo ka wajomba zangu katakuwa na nguvu ya hoja “ rumours is carried by haters …. !
Watajwe ili nao wapate kujitetea !

Maana wapo watu wamezaliwa miaka ya 1950 huko lakini wakitaka passports wanaambiwa ulete na cheti cha kuzaliwa cha Baba ! 😳😱😅
Watajwe kwa sababu sasa hivi baraza la mawaziri lote pamoja na rais mwenyewe wamekuwa suspect.
 
Ni aibu kubwa kama taifa kuendelea kusema uzembe wetu hadharani!!

Wangeshughulika nalo kimya kimya kijasusi kuliko kuja kwa wananchi na kelele kama hizi hii inaonyesha taasisi zifuatazo ni dhaifu!

1.uhamiaji2.Vetting 3. jeshi kwa ujumla yaani typo uchi kabisa!
Kwa taarifa rasmi hakuna vetting inayofanyika kumpata Raisi tokea tupate Uhuru, ni utashi wa kisiasa TU unatumika,
Kama tz kungekua na vetting hapa Nyerere asinge qualify kuwa president
 
acheni upumbavu, Africa is for Africans,mnataka wakaishi wapi?haki mojawapo ya kila mwanadamu ni kuishi,mnataka yanayotokea US yatokee Africa?mnataka kuchochea xenophobia?Dunia imekuwepo tumeikuta na tutaiacha.Toka enzi na enzi watu wamekuwa wakihama kutoka mahala Fulani kwenda mahala Fulani kwa sababu mbali mbali zilizo nje ya uwezo wao Hata Huyo Mpina hajui asili yake ni wapi ila amejikuta amezaliwa na hajui mababu zake walitoka pande Gani.Ifike mahala somo la uraia lipewe mkazo sana.Afrika ni Moja na Waafrika ni Wamoja..Hizi aina za siasa majitaka zimepitwa na wakati..
 
Kwa taarifa rasmi hakuna vetting inayofanyika kumpata Raisi tokea tupate Uhuru, ni utashi wa kisiasa TU unatumika,
Kama tz kungekua na vetting hapa Nyerere asinge qualify kuwa president
Hatari sana mkuu!

Sasa idara inafanya nini haswa ilipaswa katiba mpya iandikwe miaka 15 iliyopita hasta kipindi Cha mkapa!!

Kama Hali IPO hivyo hakuna haha ya kujiita sisi ni taifa la maana yaani tuna mambo ya hovyo kishenzi aiseh!!
 
Wengine ni wakubwa sana kule benki kubwaa ya watanganyika

Yule Rais mzilankende aliyevutishwa si alikuwa mrundi

Kwani chui jike ni mtanzania yule?

Yule bibi profesa asiyejua kutema yai

Na huyu anayetaka kuishi muda mrefu mliyemtemesha mzigo juzi
BITEKO
 
Hatari sana mkuu!

Sasa idara inafanya nini haswa ilipaswa katiba mpya iandikwe miaka 15 iliyopita hasta kipindi Cha mkapa!!

Kama Hali IPO hivyo hakuna haha ya kujiita sisi ni taifa la maana yaani tuna mambo ya hovyo kishenzi aiseh!!
Na ndio maana Mr clean alikuja na sera za uwazi na ukweli, una jua ni kwanini,
Tokea awamu ya 1 serikali imekuwa ikiwalisha wananchi wake habari za uongo.
 
Yule wa kilimo au
Mangungu mbatu mtanganyika aliuza nchi kweupe kwa akina Karl Peter wa Ujerumani kwa mambo ni aibu hata kusimulia.
Nyerere Mwenye asili ya Kinyarwanda kutokea Urundi na Rwanda,akaikoboa Africa kutoka mikono ya kikoloni.
Jomo Kenyata raisi wa kwanza wa Kenya alijinyakulia ardhi kubwa na mali nyingi kuliko hata wakoloni wenyewe.Licha ya kupambana na Waingereza kwenye vita ya MAU MAU.
Ebu jiulize swali kati ya mlafi, bumbu,linganisha na Derek Bryson Mwingereza mbunge wa Kinondoni na Waziri wa utalii kwenye serikali ya Nyerere.
 
This is an echo chamber of fear and warmongering, coming at a time when the entire regional security architecture is too delicate. And Mpina is politicking and stocking flames of hate for political expediency.

Tutsis have been living in Tanzania even before the coming of Paul Kagame. Some of them are loyal citizens, some of them are disloyal.

If we follow this chauvinistic rabbit hole of we'll discover a bitter truth that, even Mkapa was born in Mozambique.​
Kwani hela anazolalamikia zinaibwa zinapelekwa nje ya nchi?

Sidhani kama Kuna raia aliyezaliwa Tanzania anaweza kuwa na interest ya kudhofisha nchi yake kwa maslahi ya nchi nyengine.inawezekana but kwa idadi ndogo sana.japo kuna kabila fulani wao Wana roho mbaya ya kupanga mikakati kibaya kwa zaidi ya miaka 50!!
 
Kinachotakiwa ni kutengeneza mifumo imara kahakikisha pesa haigusiguzwi hovyo hovyo.mifumo isomane basi
 
Na ndio maana Mr clean alikuja na sera za uwazi na ukweli, una jua ni kwanini,
Tokea awamu ya 1 serikali imekuwa ikiwalisha wananchi wake habari za uongo.
Tunadanganywa aiseh!!
Tunapelekwa chaka kabisa!!

Kweli siri kali!
 
Back
Top Bottom