Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Watajwe kwa sababu sasa hivi baraza la mawaziri lote pamoja na rais mwenyewe wamekuwa suspect.Inashangaza ni kwanini hawatajwi !!
Kama hawatajwi basi kale kamsemo ka wajomba zangu katakuwa na nguvu ya hoja “ rumours is carried by haters …. !
Watajwe ili nao wapate kujitetea !
Maana wapo watu wamezaliwa miaka ya 1950 huko lakini wakitaka passports wanaambiwa ulete na cheti cha kuzaliwa cha Baba ! 😳😱😅