chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.