Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa.👇👇👇Clip ipo wapi mkuu
Wale inzi wa awamu ya sita kumbe wameanza kazi? Haya endeleeni kuraruana.Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina,
Muosha huoshwa. Wao wakati wanazuia wananchi kuhoji walithubutu kuteka hata kuua. Leo eti analalamikaHii hapa.👇👇👇
View attachment 2178210
Hakika, japo analoongea lina mantiki sana, acha wafu wazikane kwanza.!Muosha huoshwa. Wao wakati wanazuia wananchi kuhoji walithubutu kuteka hata kuua. Leo eti analalamika
Wafukiane tu tutasoma vibao kwenye makaburi baaasiHakika, japo analoongea lina mantiki sana, acha wafu wazikane kwanza.!
Na mimi nasema wazijibu kwa mtutu kama wao walivyokua wakifanya kipindi cha tano.Bwana chinembe wote tunakubali mpina ni sukuma gang ila hoja zake zijibuni kwa hoja.
Kama hiki ulichoandika ni kweli, basi hata kile kinachosemwa huku Kijijini Rubambangwe, Wilayani Chato kwamba SIMBA WA YUDA alianza kuugua hadi umauti kumkuta baada ya kukutana na msaidizi wake namba moja ambaye Leo yuko "OFISINI" ni KWELI!Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina,
Huyo alikuwa mgonjwa muda mrefu sanaKama hiki ulichoandika ni kweli, basi hata kile kinachosemwa huku Kijijini Rubambangwe, Wilayani Chato kwamba SIMBA WA YUDA alianza kuugua hadi umauti kumkuta baada ya kukutana na msaidizi wake namba moja ambaye Leo yuko "OFISINI" ni KWELI!
Acha majungu fanya kazi kibaraka wa kipara wewe, tuweke hapa takwimu kuwa Luhaga Mpina anachukiwa na wakazi wa kanda ya ziwa?
Mnataka yarudi yale yale mliokuwa mnayalaani kila siku ??!! Mbona wepesi kusahau ? !! Kwahiyo sasa waanze kushughulikiwa kama walivyokuwa wakishughulikiwa wakati wa Mwamba ??!! Salaaaleeh !! Kweli kuishi kwingi kuona mengi !!Luhaga anatukana chama na serikali hadharani, ashughulikiwe
Nimemsikia vyema Mh.tukiacha ushabiki wa kisiasa hoja zake hata kama anaajenda tusio ijua Mh. Hoja yake ni ya watanzania
Huyu mtu ana chuki Sana na Samia na kajigeuza ndio msemaji wa sukuma gang..Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina,
So mmeruhusu uhuru wa kutoa maoni au mie sielewi! Kwani Tz tuna rais kweli? Kwa mambo yanayoendelea duh, R.I.P Magufuli!Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.