Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Haya nyamazisheni watz wote! Tunakoelekea watu wataona haya kujihusisha na fisiemu!Huyu mtu ana chuki Sana na Samia na kajigeuza ndio msemaji wa sukuma gang..
Amekuwa akimeshambulia Waziri Makamba kwa tuhuma lukuki za kutunga..
Hivi ina make sense kwamba Makamba ahujumu mradi wenye maslahi ya Nchi kweli? Kwamba Serikali inamuogopa Makamba au?
Unashindwa kuelewa malengo yake huyu bwana ni nini hasa,mh.Rais Huyu ni WA kunyamazishwa,ni mpuuzi fulani tuu..
Spika ulimnyamazisha kenge kama huyu usimchekee.
Maana CCM iliyokumbatia watz wote inapotea kwa Kasi sana! Na fisiemu kwa Sasa ndio muelekeo!