Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

Haya nyamazisheni watz wote! Tunakoelekea watu wataona haya kujihusisha na fisiemu!
Maana CCM iliyokumbatia watz wote inapotea kwa Kasi sana! Na fisiemu kwa Sasa ndio muelekeo!
 
Mpina analeta siasa kwenye mambo ya kiufundi, Hivi anajua time frame ya SGR project!!? Mpaka JPM anafariki tulikuwa nje ya muda ambao ulipangwa awali je alihojia!?! Waziri makamba ni mtu smart sana na sababu za bwawa kuchelewa kukamilika zimeshaelezwa waziwazi, Inshu ya umeme kukatika pia liko open kabisa
Lakini kama Nchi tunakoelekea ni pazuri sana hata haya mambo ya kukatika umeme yatabaki historia kama anaona Uchungu kalemani kutoka wizarani kwa vile kuna deals kibao walifanya basi atambue wakati wao umepita.
 
Mimi nipo mbali huko sioni! Bado winchi haijapatikana?
 
Luhaga anatukana chama na serikali hadharani, ashughulikiwe

Hawezi kushughulikiwa kwa anachotamka akiwa bungeni. Labda mumchape zile vitu zina ncha kali!! Hawezi kukamatwa na kushitakiwa.
 
Stupid. Eti wananchi waliomchagua waliomtuma, huo uchaguzi ulifanyika lini? Mpina uko bungeni kwa kimemo Wala hujachaguliwa na wananchi.
Kwanini unataja umeme tu mbona hutaji wizara zinazoongozwa na wasukuma Kama mitugo?
Kwendra huko tuacheni tupumue
 
Wote hao anti Samia, watakufa na kihoro chao.
Mwendazake ndo hayupo.
 
Haya nyamazisheni watz wote! Tunakoelekea watu wataona haya kujihusisha na fisiemu!
Maana CCM iliyokumbatia watz wote inapotea kwa Kasi sana! Na fisiemu kwa Sasa ndio muelekeo!
Tunawanyamazisha mapunguani na wapumbavu kama huyu Mpina.
 
Kwa kweli huyu Mama mwanzoni nilimuona kuwa ni mtu mwenye kuona mbali kumbe alitupotosha tu. Anaboronga kila uchwao kutokana na kujiunga na kina Kikwete na wengineo waharibifu wa nchi hii, na ndiyo maana walimrudisha Membe makusudi wazidi kuharibu zaidi.
 
Du kuna watu wanagubu, kitendo cha mbunge kutoa maoni yake ambayo ndio kazi yake kama mmbunge, tayari ameitwa mpinga Rais.

Nilitegemea ungeweka mada tofauti inayohusu kuhusika kwake kumpinga Rais kuapishwa. Na hii ya maoni yake kuhusu ushauri wa makamba "mhujumu uchumi" bundling the two unaonesha unachuki nae Mpina hata kama hoja zako zina mashiko.

Kwenye uandishi wa hoja za kushambulia objectivity ndio itafanya hoja zako zionekane zinamashiko na sio aina ya ushambuliaji.
 
Ulikuwepo au [emoji92] kama kawaida yenu wapika Sumu wa Mbowe?
 
Mama amekusikia weka CV yako sasa upumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…