Ni ujinga..wamuulize mjinga mwenzao mzee wa Nazareth yaliyomkuta !! CCM ni kinyamkelaJiwe alikuwa anajibu hoja kwa mtutu.Hawa wafuasi wake wafanyiwe hivohivo
Mmesema mnataka demokrasia ndani ya Chama, acha watu wafunguke.Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Mpina ni mtambo wa fitna CCM, ashugulikiwe haraka sana pamoja na genge lake.Maelezo ya mbunge Luhaga Mpina yamelenga kumsaidia Rais Samia,na si kuikwamisha serikali ya awamu ya sita.
January Makamba Kama waziri wa nishati kafanya makosa makubwa sana yanayomuondolea sifa ya kuendelea kuwa waziri hata kama tunampenda kiasi gani.
Kuendelea kumbeba ni kuidhoofisha serikali hii ya awamu ya sita. kwani akiachwa wengi watafanya makosa kama yake na hapo ndio uwajibika utashuka kupindukia,
Rais Samia hili ni tego kwako kabla makundi mbalimbali hayajaanza kupiga mayowe kuhusu huyu msaidizi wako.
Nakumbuka hayati Magufuli pamoja na uswahiba aliokuwa nao na Kitwanga,alimfukuza uwaziri haraka sana baada ya kuingia bungeni kalewa.
Hili la Makamba Jr ni zaidi ya kosa alilofanya Kitwanga
Wenye dhambi Mara zote huwa na wasiwasi.Ile speech kuna mkono wa Ndugai???? Huyo Ndugai mwenyewe yupo wap? Bungeni Hayupo jimboni Hayupo walikutania wapi na luhaga
Yeye Mpina si ni mbunge kafanya kazi yake, mpaka sasa bado tunasubiri kujibiwa kwa hoja za mpina hasa la kuondolewa tozo ya shilingi miamoja bila kufuata taratibu.Mpina ni mtambo wa fitna CCM, ashugulikiwe haraka sana pamoja na genge lake.
Mnadhani mtawanyamazisha watanzania wote, ukweli lazima usemwe,upumbavu wenu ni pale mtu anapoongelea maswala ya nchi nyie mnasema sukuma geng wanamuonea wivu makamba na shangazi yake[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] wajinga sana nyie watu wtz sio wapumbavu.Huyu mtu ana chuki Sana na Samia na kajigeuza ndio msemaji wa sukuma gang..
Amekuwa akimeshambulia Waziri Makamba kwa tuhuma lukuki za kutunga..
Hivi ina make sense kwamba Makamba ahujumu mradi wenye maslahi ya Nchi kweli? Kwamba Serikali inamuogopa Makamba au?
Unashindwa kuelewa malengo yake huyu bwana ni nini hasa,mh.Rais Huyu ni WA kunyamazishwa,ni mpuuzi fulani tuu..
Spika ulimnyamazisha kenge kama huyu usimchekee.
Akaage na majirani, kama hana adabu, kuaga hakusaidiiLuhaga Mpina ni kati ya wabunge walioaga kwao.
Ukweli ni kwamba mama 2025 kazi unayo na kurudi chamwino ni ndoto.
Bado hujaweza kufikia kasi na viwango vya JPM. Upigsji fedha za umma umeanza kwa kasi sana.
Hilo bwawa likiisha wakati substation ni za hobyo, transfoma za kizamani, huo umeme utatokaje huko Stiglers, mmeambiwa serikali imeanza mkakati wa kuziboresha ziendand na mahitaji na fedha nyingi sana imetengwa na mama SamiaHivi hii nchi ni lini umeme haukuwahi kukatika?..
Toka hii nchi inapata uhuru mpaka leo tatizo la umeme lipo palepale,
Aliyekuwa na dhamira angalau yule aliyeamua kujenga bwawa la kuzalisha umeme 2000+ MW... Tunapaswa kutoa pressure angalau lile bwawa lianze kufanya kazi, hizi nyingine ni blahblah tu.
Tanesco inajulikana kwa miundo mbinu iliyooza na utendani wake mbovu miaka yooote na hii chanzo chake ni mfumo mzima wa kuajili na waajiliwa waliopo hapo, kiujumla hao watendaji wa Tanesco wanawakilisha watanzania wengi ambao ni wazembe na wajinga kwenye majukumu yao..
Hakuna siku umeme wa Tanesco uliwahi kuwa stable hapa Tanzania...kuanzia JKN mpaka Samia , ni shida tu kila siku na Tatizo kuu ni miundo mbinu mibovu na watendaji vilaza..
Mnasimama na katiba mpya huku mitandaoni? Ingieni barabarani kama mko serious.Uaneni tu huko, sisi wengine tunasimama na KATIBA MPYA.. iwe jua iwe mvua.!
Wewe ni mpuuzi bisha!Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Hilo bwawa likiisha wakati substation ni za hobyo, transfoma za kizamani, huo umeme utatokaje huko Stiglers, mmeambiwa serikali imeanza mkakati wa kuziboresha ziendand na mahitaji na fedha nyingi sana imetengwa na mama Samia
Serikali inajua kuliko wewe.vyote viende kwa pamoja, ujenzi wa bwawa ulishaanza na hela tayari iko pale hatuwezi kuutelekeza, kinachotakiwa ni kupriorities mambo kazi ifanyike na mwisho watanzania wapate umeme wa kutosha ulio stable...
Serikali inajua kuliko wewe.