Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Michepuko ya Makamba inapambana na wasukuma. Awamu hii tutaona mengi.... Mkishindwa hoja mnamuuzia kesi Rais Samia 🤣🤣🤣🤣 mteteeni bwana yenu. Wote na akina Luhaga mnajua mnachofanya si yetu macho tu....
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Kwanza tuanze na hotuba yake (Mpina), je! Ina ukweli wowote? Kama kuna ukweli, then, jadili hotuba - siyo personality ya Mpina. Kama hakuna chembe ya ukweli, basi apuuzwe!
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Hao ni mbwa tu,hawawezi kushindana na mamlaka,

Mwenzao nduuugay yupo wapi, alijifanya kutaka kutikisa mamlaka akapotea
 
Kijana msomi Luhaga Joelson Mpina asiijue katiba?

We ndezi kwelix2
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Luhanga anatawatwanga Sana nyie wahuni. Mnajibu kwa kejeli Sana.

Isitoshe yeye anaongelea mambo yanayo husu taifa afu wewe unateseka na madaraka.
Fanyeni kazi, mkikosea mkosolewe. Namkiendelea kukosea mtaondoka bila kupenda.
 
Tujifunze kukubaliana na mawazo ya wengine hiyo ndio Demikrasia.

Haiwezekani Nchi nzima tukawaza na kupenda jambo moja.

Lazima tofauti iwepo.

Sasa nyie watoto wa mjini mnashangaza sana mnapoogopa kukosolewa na kukimbilia kudai eti mnachukiwa.

Mbona kipindi dhalimu anakomoa watu asiofanana nao mitazamo uliona sawa? Huu ndio tunaita unafiki.
 
Ikumbukwe kuwa kuna kipindi hapa Tanzania tumemchagua mbunge mmoja huyo huyo kwa chaguzi mbili kupitia fedha za walipakodi.

Tulianza Kinondoni kwa yule mbunge wa CUF aliyehamia CCM.

Tukaenda kwa Mwita Waitara

Tukaenda kwa Gekui

Tukaenda Ukerewe, Monduli, Siha nk....nk

Je, ule haukuwa Uhujumu uchumi ( matumizi mabaya ya kodi za wananchi)

Kumlaumu January Makamba kwa kuondoa tozo ya tsh 100 kinyume cha sheria ni kumuonea bure tu, bunge ndio la kulaumiwa na wewe Mpina ukiwemo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wee mwenyewe uko km yeye. Ulikuwa unapiga makofi pwa, pwa, pwa... wakati wa mwendazake. Ulipigia makofi uhuni na dhuluma ile. Leo umejifanya mkosoaji!! Nchi hii mmejaa wanafiki. Watu mnashindana kwa unafiki bila aibu! Na ndio maana ukombozi uko mbali.

Jiulize, wale wa NCCR wakaamua kwenda kwenye mkutano ambao chama chao kimesema wazi kuwa hakitashiriki! Wameenda kwa maslahi ya nani? Tena bila aibu kabisa!! Mchana kweupe mbele ya TV!! Unaweza kujiuliza swali hilo hilo dhidi ya COVID-19 wa CHADEMA.
 
Luhaga Mpina kuna kitu kinamsumbua. Sema tu anazunguka zunguka. Ila ipo siku tu ukweli utajulikana.
 
Yeye mwenyewe alipokuwa wazir aliweka walevi wenzie pale MARINE PARKS. Bila hata kuwa na sifa
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.

Hatuwezi kubadilisha mawaziri kila siku wa wizara hii. Tukitaka tatizo litatuliwe ni lazima tupate mtu anayesema ukweli tumpe muda wa kotosha tuone kama atafanikisha.
 
Mtashugulikia wangapi? Huyo Mpina hajaanza leo kuibana serikali au viongozi wanapokosea.tangu enzi za kikwete..ni ujinga badala ya kujibu hoja zake kuelimisha watu mnamshambulia binafsi nini maana ya haki na uhuru wa maoni kama mbunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Jf siku hizi upumbavu mwingi sana
 
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.

We kinembe ushabiki umekuzidi....

Jibu hoja alizoleta na sio kumshambulia yeye,, kwanini sisiemu mnakuwa wazito kujibu hoja,,mnakimbilia kumuona kila mtu msaliti...

Hata ndugu yako January badala ya kujibu hoja za msukuma aliongea ujinga kama ulioleta hapa wewe...

Acheni siasa za kipumbavu,,,Lipi hasa kosa kwenye alichosema??? Tusi gani ametukana serikali??
 
Wakati mpina anaandikiwa hiyo speech na kalemani wewe ulikuw umekaa wapi? Ulikuwa unafanyaje? Hukuwapiga hata picha tu? Wacha unafiki kibaraka was makambà wewe,ulishindwa hata kuwarecord tu,hiyo Ni riwaya ya kusadikika,kwahiyo makambà ndo alikutuma useme hayo? Vipi akina mzindakaya walivyowapasua akina professor mbilinyi na wenyewe kina mzindakaya walikuwa hawaipendi serikali ya mkapa? He kina mzindakaya wanachukiwa Sana kule sumbawanga? (Kwera) ,waache wampasue makamba,acha kujenga dhana ya ukanda na ukabila kwa kumtetea kipara,mnasema mmeweka bunge live si ndiyo matunda yake hayo! Unataka kipara aachwe tu afanye anavyotaka?
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Wacha mpambane wenyewe na mmalizane aswaaa
 
Back
Top Bottom