Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Proof
 
Kazi imeanza!

Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM by Nyerere!
Mkuu, hii kauli ya Nyerere ilikuwa ni dharau kwa Watanzania (kwa jinsi alivyowafahamu katika miaka 24 ya utawala wake). Alishavunja vunja uhuru wao wa kuamua wanachokitaka. Sema ni vile tu Nyerere hakosolewi katika nchi hii.

CCM ni jinamizi au zimwi aliloliacha nchini ama kwa makusudi au kwa kupigwa chenga na mantiki. Mwenyewe alionja vipigo vyake dakika zake za mwisho.
 
Mwalimu Nyerere hajawahi na hakuwahi kukosea unabii wake.Yanatimiaaaaaaaa
 
Nyerere nabii? That’s a joke.

CCM itakufa a natural death. Chama kimejengwa na kinaishi katika misingi ya uongo, unafiki na ulaghai. Lazima kibomoke ndani kwa ndani na kufa kabisa. Hakiwezi kuzalisha upinzani wa maana.

Wananchi ndio wataleta upinzani wa kweli - wakiamua na kudhamiria kupitia katiba makini, period.
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Mtu akiwa mkweli anakuwa adui wa CCM, matapeli tupu humo
 
Nyerere nabii? That’s a joke.

CCM itakufa a natural death. Chama kimejengwa na kinaishi katika misingi ya uongo, unafiki na ulaghai. Lazima kibomoke ndani kwa ndani na kufa kabisa. Hakiwezi kuzalisha upinzani wa maana.

Wananchi ndio wataleta upinzani wa kweli - wakiamua na kudhamiria kupitia katiba makini, period.
Chama cha kitapeli sn
 
Ni lazima mama akutane na wapinzani ili nae aonekane ni mwamba kiasi gani
 
Mkuu, hii kauli ya Nyerere ilikuwa ni dharau kwa Watanzania (kwa jinsi alivyowafahamu katika miaka 24 ya utawala wake). Alishavunja vunja uhuru wao wa kuamua wanachokitaka. Sema ni vile tu Nyerere hakosolewi katika nchi hii.

CCM ni jinamizi au zimwi aliloliacha nchini ama kwa makusudi au kwa kupigwa chenga na mantiki. Mwenyewe alionja vipigo vyake dakika zake za mwisho.
Kaa hivyo hivyo kwa kumdharau Nyerere! Lakini alichesema ndo uhakika!
 
Hapa JF sio mahali pa kudharau au kuheshimu. Ni sehemu ya critical thinking. Nyerere was a great statesman. Ana sifa kubwa za kipekee katika nchi hii. Bado hajawepo aliyezifikia. Ndizo zinazompa heshima ya kipekee. Zitafute uzielewe.

LAKINI alifanya makosa ambayo kwa kiingereza tunaita “fatal mistakes”. Kiswahili ni makosa ya kufisha. Aliua misingi mikuu ya demokrasia na utawala bora akitarajia kuwa utawala wa mtu mmoja “mwenye hekima” ndio unaofaa kwa Tanzania! Na kwamba huyo mtu lazima atoke CCM. That was a fatal mistake. We’re still paying.

Human beings are naturally not rational. Wachina, Warusi, Scandinavia walimueleza: Man is not rational. You either need functioning democratic institutions or dictatorial force to govern. No middle way or short cut.

Mwaka 1992 alipopindua uamuzi wa Tume ya Nyalali na kusema maoni ya asilimia 20 ya Watanzania waliotaka mfumo wa vyama vingi vya siasa ndio yazingatiwe alijua kuwa hao asilimia 80 waliotaka chama kimoja walikuwa wanafuata propaganda na vitisho vya serikali!

Usipoweza kuona mambo specific yanayompa Nyerere ukuu alio nao na makosa makubwa aliyofanya (legasi yake kamili katika nchi hii) ukachukulia ni suala la kumheshimu au kumdharau tu, this is not your place.
 
Sioni kosa la Nyerere hata kidogo! Kwanini tukilalamika mpaka leo, na lawama juu, kuna suruhu itapatikana?, Nyerere alifanya yake kaondoka, mpaka leo ni dharau kwake badala ya kunyoosha mambo?
 
Mkuu, hii kauli ya Nyerere ilikuwa ni dharau kwa Watanzania (kwa jinsi alivyowafahamu katika miaka 24 ya utawala wake). Alishavunja vunja uhuru wao wa kuamua wanachokitaka. Sema ni vile tu Nyerere hakosolewi katika nchi hii.

CCM ni jinamizi au zimwi aliloliacha nchini ama kwa makusudi au kwa kupigwa chenga na mantiki. Mwenyewe alionja vipigo vyake dakika zake za mwisho.
Wakati wa Bwana ukifika CCM itang'oka tu madarakani. Hakuna linaloshindikana kwa Mungu.
 
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Mpina kichwa sana
 
Back
Top Bottom