Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi Imhotep siungi mkono Mapinduzi ya Kijeshi ila naunga mkono maandamano na migomo Nchi nzima kama njia ya kufikisha ujumbe wetu.
 
Mimi nimwelewa tofauti!

Kwasasa Tanzania haitofautiani na serikali zilizopinduliwa hapa Africa!

Nadhani ni kama anamwambia Mabeyo was Sasa afanye kama kina mabeyo wengine kwenye nchi hizo na ikitokea tusifungiwe huko UN!!

Nadhani Mabeyo wa Sasa atakua amemwelewa!na soon tutaona Ile hashtag ya "Mabaka wametawala"IPO njiani!!

Huyu Mpina huyu je ni kinywa Cha wenye Dola yao!!?

Naendelea kusubiri huku Bandarini kumenoga!!!
 
Ujumbe unapelekwa Kwa Kila njia.

Mfumuko wa Bei utakaokuja kutokana na Bei za bandarini kuongezeka kutaleta kelele yenye mshindi mkubwa,

Tusubiri.
 
Serikali ya rais Samia hii hii iliyopoka haki za wanachi kuchagua viongozi wao mwaka 2019 na 2020?
 
Ujumbe unapelekwa Kwa Kila njia.

Mfumuko wa Bei utakaokuja kutokana na Bei za bandarini kuongezeka kutaleta kelele yenye mshindi mkubwa,

Tusubiri.
Bahati mbaya Mystic aliona eti "kichwa kilichojeruhiwa kikakimbia na kupata hifadhi nje ya nchi,eti mabaka yakabeba Chao"na maamuzi yakawa yanafanyika sirini bila Binge Wala mawaziri,yaani eti!!!?sidhani kama Mystic atatuhuzunisha kama nabii Musa!!!

Ngoja niamini unabii was mystic namuona Mpina akitimiza unabii live polepole!!!
 
Tanzania tunahitaji mapinduzi dhidi ya ccm(chama Cha majambazi)
 
Wanajeshi wakwetu naona wapo kimya tu sjui wanasubilia nini,nchi hii inanuka rushwa sana kila mahali matumizi ya nguvu ya baadhi ya vyombo dhidi ya Raia..kwakweli nashangaa kuona sisi ni masikini sana wakati tuna kila rasilimali ya kutupatia utajiri.
Ukisikia mtu anasema “Tanganyika/Tanzania ni kiti na machine ya propaganda na Siasa Afrika unaelewa nini?

Mfumo mzima wa nchi na watu wake umejengwa kwenye Siasa na Propaganda.

Sera na utekelezaji wake uko kwenye misingi ya Siasa na Propaganda.

Uchumi wa nchi mpaka wa Mwananchi mmoja mmoja umeelemea kwenye Siasa na propaganda.


Sometimes, one may wonder if this reality we are in, is really Real or just Polifixes and Propagandas!
 
Nakubaliana na Mpina moja kwa moja.
Kumpindua mtu kama Omar Bongo kule Gabon, nalo liwe kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…