Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo Jeshi lililojaa Makada wa CCM kutoka Chuo cha Siasa Kivukoni.Linaheshimu sana
Kanda ya nyanza haijawahi kutuangusha tangu uhuru.Watu kama hawa ndio tunaowataka
Ujumbe unapelekwa Kwa Kila njia.Mimi nimwelewa tofauti!
Kwasasa Tanzania haitofautiani na serikali zilizopinduliwa hapa Africa!
Nadhani ni kama anamwambia Mabeyo was Sasa afanye kama kina mabeyo wengine kwenye nchi hizo na ikitokea tusifungiwe huko UN!!
Nadhani Mabeyo wa Sasa atakua amemwelewa!na soon tutaona Ile hashtag ya "Mabaka wametawala"IPO njiani!!
Huyu Mpina huyu je ni kinywa Cha wenye Dola yao!!?
Naendelea kusubiri huku Bandarini kumenoga!!!
Serikali ya rais Samia hii hii iliyopoka haki za wanachi kuchagua viongozi wao mwaka 2019 na 2020?Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Chanzo: Uhondo Tv.
Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Karibuni 🙏
Watamfanya kitu si kizuri si muda mrefuHuyu nimempandisha vyeo, nyota moja nimeitoa kwa Zito nampachika L. Mpima mabegani
Haitapunguza chochote zaidi ya kuinua majasiri wengi zaidi.Watamfanya kitu si kizuri si muda mrefu
Bahati mbaya Mystic aliona eti "kichwa kilichojeruhiwa kikakimbia na kupata hifadhi nje ya nchi,eti mabaka yakabeba Chao"na maamuzi yakawa yanafanyika sirini bila Binge Wala mawaziri,yaani eti!!!?sidhani kama Mystic atatuhuzunisha kama nabii Musa!!!Ujumbe unapelekwa Kwa Kila njia.
Mfumuko wa Bei utakaokuja kutokana na Bei za bandarini kuongezeka kutaleta kelele yenye mshindi mkubwa,
Tusubiri.
Hiyo hiyo 😀Serikali ya rais Samia hii hii iliyopoka haki za wanachi kuchagua viongozi wao mwaka 2019 na 2020?
duuh! hapo Mbwa kala Mbwa.Hiyo hiyo 😀
Hapo anapeleka ujumbe ambao Huwa unaeleweka vyema Kwa Watawala.duuh! hapo Mbwa kala Mbwa.
Haitobadili chochoteMwakani CCM watalikata jina asirudi Bungeni.
Wasijetu kumlisha Sumu.Hapo anapeleka ujumbe ambao Huwa unaeleweka vyema Kwa Watawala.
Malaika walinzi wako kazini.Wasijetu kumlisha Sumu.
Ukisikia mtu anasema “Tanganyika/Tanzania ni kiti na machine ya propaganda na Siasa Afrika unaelewa nini?Wanajeshi wakwetu naona wapo kimya tu sjui wanasubilia nini,nchi hii inanuka rushwa sana kila mahali matumizi ya nguvu ya baadhi ya vyombo dhidi ya Raia..kwakweli nashangaa kuona sisi ni masikini sana wakati tuna kila rasilimali ya kutupatia utajiri.
Nakubaliana na Mpina moja kwa moja.Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.