- Thread starter
- #81
Na uzuri ni mwana CCM mwenzao.Huu ni ukweli unao umiza..........alichoongea ni ukweli mtupu.
Leo ni siku njema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzuri ni mwana CCM mwenzao.Huu ni ukweli unao umiza..........alichoongea ni ukweli mtupu.
Kila zama Na watu wake....magufuri alikupa ulaji Mpina, Leo magufuri hayupo....inatakiwa nyote mliobebwa Na magufuri kuwa magufuri hayupo tenaSalaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Chanzo: Uhondo Tv.
Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Karibuni 🙏
Baada ya kupindua Rushwa zikaisha au? Sudan huko kinachowagombanisha ni nini?Sababu kuu za mapinduzi ni RUSHWA kutamalaki, wizi wa kura na WA raslimali za nchi.
Kwani imeshindikana CCM kujitenga na wizi wa kura Ili tusiende huko kama Nchi?
Chawa katika ubora wakoSasa hiyo Katiba yenu itatusaidia nini?
Naijua unachokiongea sababu ya experience uliyopitia kuhusu Rwanda.One man one vote system hatutaki Serikali za Kijeshi Tanzania.
Bila Jeshi unadhani march 2021 ingekuwaje?One man one vote system hatutaki Serikali za Kijeshi Tanzania.
Jibu swali,Katiba Mpya itasaidia nini Mimi wa Misungwi?Chawa katika ubora wako
Unataka kusemaje?Bila Jeshi unadhani march 2021 ingekuwaje?
😂😂😂
Yani wewe akili yako imeishia hapo?. Yani uchaguzi wa CHADEMA umekuuma kiasi kwamba unatunga uongo kujustyfy kutokuwepo na Katiba Mpya?. Be serious.Wanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.
Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji
Duniani Kote jeshi ndio lenye Nchi 😂Unataka kusemaje?
Kama haikusaidii Kaa pembeni endelea kulima matembele hapo Misungwi, wale ambao itawasaidia acha waendelee na harakati.Jibu swali,Katiba Mpya itasaidia nini Mimi wa Misungwi?
Ndio umeniuma sana Kwa sababu waliotarajiwa kuonesha utofauti wameishiwa kupigwa bei kama matikiti.Yani wewe akili yako imeishia hapo?. Yani uchaguzi wa CHADEMA umekuuma kiasi kwamba unatunga uongo kujustyfy kutokuwepo na Katiba Mpya?. Be serious.
Gaddafi aliposhambuliwaKwa hiyo umoja wa nchi za Africa unaweza kuwawajibisha waafrika wenzao Ila invasion ikitokea kwa mabepari. Wanakaa pembeni kimyaaaa
Kwa zile kero zinazoibuliwa kwenye mikutano ya Makonda , kupinduliwa Kwa hii serikali ni halali.Akamuamshe kichaa mwenzake waje kupindua serikali, asizungukezunguke.
Acha hizo!!Duniani Kote jeshi ndio lenye Nchi 😂
Niko.hapa kuelimisha Umma kwamba Utapeli ule ule wa kupinga Rushwa ndio wametumia Rushwa kuchaguana.Kama haikusaidii Kaa pembeni endelea kulima matembele hapo Misungwi, wale ambao itawasaidia acha waendelee na harakati.
Tuseme ni kweli rushwa ilitokewa kwenye huo uchaguzi, je unahalalisha mchakato wa Katiba Mpya usiwepo?. Kosa la CHADEMA ndilo lifanye Katiba Mpya isiwepo.Ndio umeniuma sana Kwa sababu waliotarajiwa kuonesha utofauti wameishiwa kupigwa bei kama matikiti.
Mpaka hapo Kuna haja gani ya kuwa na Vyama Vya waganga njaa? 🤣🤣
Acha zako. Wananchi wote raia wa nchi husiaka ndio wenye nchi.Duniani Kote jeshi ndio lenye Nchi 😂