Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuseme ni kweli rushwa ilitokewa kwenye huo uchaguzi, je unahalalisha mchakato wa Katiba Mpya usiwepo?. Kosa la CHADEMA ndilo lifanye Katiba Mpya isiwepo.
Binafsi hakuna haja ya mchakato wa hiyo Katiba Mpya yenu maana sijawahi ona faida yake.

Ndio maana nakuuliza wewe hapa faidia ya Katiba Mpya ni ipi huwezi jibu 🤣🤣

Labda hiyo Katiba Mpya Ina faida Kwa nyie Wanasiasa maana mtatumia kama ngazi ya kuingia madarakani kukwapua Kodi zetu.
 
Hizo nchi anazozitaja Mpina ni jeshi ndio limepindua serikali sio wananchi waliofanya mapinduzi.
Hata hapa kwetu JW ni Jeshi la Wananchi,CCM ikiendeleza ushenzi wa wizi wa kura jeshi letu litawasgughulikia ipasavyo na sisi Wananchi tutaliunga mkono.jeshi letu
 
Hata hapa kwetu JW ni Jeshi la Wananchi,CCM ikiendeleza ushenzi wa wizi wa kura jeshi letu litawasgughulikia ipasavyo na sisi Wananchi tutaliunga mkono.jeshi letu
Kwani Ccm hizo kura wameacha kuiba ?
 
Back
Top Bottom