econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Yani walikaaa kimya mpaka jamaa akauawa Kama kibaka, hata kumsaidia aende uhamishoni hapana. AU wajinga Sana.Gaddafi aliposhambuliwa
Hao AU walifunga midomo yao
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani walikaaa kimya mpaka jamaa akauawa Kama kibaka, hata kumsaidia aende uhamishoni hapana. AU wajinga Sana.Gaddafi aliposhambuliwa
Hao AU walifunga midomo yao
Ova
Wana maana kuwa CCM wakinajisi tena Uchaguzi mkuu ujao yatatokea mapinduzi, mbona hii iko wazi kabisa.Kwa hiyo, wewe na Mpina mnataka kusema nini?
Mbona kama mnazunguka sana?
Binafsi hakuna haja ya mchakato wa hiyo Katiba Mpya yenu maana sijawahi ona faida yake.Tuseme ni kweli rushwa ilitokewa kwenye huo uchaguzi, je unahalalisha mchakato wa Katiba Mpya usiwepo?. Kosa la CHADEMA ndilo lifanye Katiba Mpya isiwepo.
Katiba haina faida kwa machawaJibu swali,Katiba Mpya itasaidia nini Mimi wa Misungwi?
Labda igizo la mapinduzi kama lile la Malanga kule DRC.Wana maana kuwa CCM wakinajisi tena Uchaguzi mkuu ujao yatatokea mapinduzi, mbona hii iko wazi kabisa.
Ila Ina faida Kwa ma nani?Katiba haina faida kwa machawa
Hata hapa kwetu JW ni Jeshi la Wananchi,CCM ikiendeleza ushenzi wa wizi wa kura jeshi letu litawasgughulikia ipasavyo na sisi Wananchi tutaliunga mkono.jeshi letuHizo nchi anazozitaja Mpina ni jeshi ndio limepindua serikali sio wananchi waliofanya mapinduzi.
We kama chawa mkuu kutoka mbeya katiba haina faida kwakoIla Ina faida Kwa ma nani?
Usiishi kwa kukariri zama hubadilikaLabda igizo la mapinduzi kama lile la Malanga kule DRC.
Kwako.ina faida gani?We kama chawa mkuu kutoka mbeya katiba haina faida kwako
Chawa kama wewe haina faida kwakoKwako.ina faida gani?
Kwani Ccm hizo kura wameacha kuiba ?Hata hapa kwetu JW ni Jeshi la Wananchi,CCM ikiendeleza ushenzi wa wizi wa kura jeshi letu litawasgughulikia ipasavyo na sisi Wananchi tutaliunga mkono.jeshi letu
John lockeNchi inayonajisi Sanduku la kura na kudharau maamuzi ya wananchi, wananchi Wana HAKI kuziondoa Serikali za namna hiyo madarakani.
Ukiona mwenzio ananyokewa, tia maji!!
Wangefanya maendeleo wangepinduliwa? Si wangeliliwa kama.Rais wa Brazil?
Hawa ndio mnawataka
Unafikiri Jeshi linaheshimu Katiba?!Bila Jeshi unadhani march 2021 ingekuwaje?
😂😂😂
Sio kweli Nchi ni ya Wananchi sio ya Wanajeshi.Duniani Kote jeshi ndio lenye Nchi 😂
Linaheshimu sanaUnafikiri Jeshi linaheshimu Katiba?!
Wanajeshi ni wananchiSio kweli Nchi ni ya Wananchi sio ya Wanajeshi.