Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa.
Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina.
Mbunge hajui hata Mpina anaongelea nini, hajui, hajui, kwakua sio wasomaji, sio wafatiliaji, wamebaki kua wabunge wa Kupiga makofi pasa paaa paaaaa.
Unajiuliza, Hivi hata hao wabunge wenye tuelimu nao ,ni vilaza namna hii?Yaan kwann mbunge unayejiona Msomi, Unashindwa kua Mdadidisi na kuacha akili yako ifanye kazi?
Hili likanirejesha kwenye Mfumo wetu wa Elimu, Elimu inayozalisha watu Kwa Vyeti, ila huyohuyo MTU Kwa miaka yote mitatu au zaidi ya Kua chuo kikuu, hawez hata kuweka katika vitendo kile alichokisomea, wao wanasema 'nitajua mbele Kwa mbele'🤣.
Hilo ndio Bunge ambalo ndio Kuna kamati mbali mbali, ndio Bunge la sheria na kanuni mbalimbali.
Sisemi kwamba ni Bunge lote, la hasha, Kuna wanawake na wanaume wabunge ambao kweli unaona Wanatendea haki Elimu zao na kama hawana Elimu unaona kabisa kweli wamejazwa na Hekima na Busara.
Hilo ndio Bunge la Tanzania, ambalo Ndani yake Kuna Mashoga, Kuna wasagaji kama ambavyo na wao waliona waanze kupimana.
Mh Luhaga Mpina, Wee chapa Kazi, Habari za uwaziri Sijui nn wewe usizingatie, Chapa kazi Mkuu, Chapa Kazi, endelea kuweka wazi madudu, Unaweza ukachukiwa na Bunge Zima, ila wee usijali, chapa Kazi, sio lazima ufanane na wajinga, wajinga na wanakawaida ya kutaka mfanane, yaan wote muonekane wajinga wajinga, weeee chapa Kazi Mkuu, chapa Kazi haswaaa.
Kuhusu Majibu ya Waziri alokupa, Achana naye, Mpuuze, Watu wa Pwani hawajawahi kua na Akili, huwa ni waswahili Swahili na Maneno Maneno, mpuuuze, sisi wanaume wa Kanda ya ziwa, sifa yetu ni kujiamini, Akili na uthubutu.
Hivo Mimi Carlos The Jackal, Daktari Daraja la Pili, Kijana wa Kitanzania, Niliyepata Ufaulu Division One kidato Cha Nne, na Division One ya PCB kidato Cha Sita na Niliyepata Overall GPA ya 3.8 Chuo kikuu
Ninaku support, ukisapotiwa na Watanzania wa Aina yetu, huo ni mtaji, Sisi ndio Dunia inatutegemea Kwa siku zijazo, Wapuuze hao vichwa Panzi.