Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

Ikiwa rais hatamchukulia hatua basi tutajua kuwa na yeye ni sehemu ya ufisadi huu
 
Ashukuru tu ana walinzi lkn anastahili kukamatwa na kupakwa Vaseline msng huyu. Lina dharau wakati hata jamii yake inajulikana ina maisha duni
Dharau na vijembe vimemtawala sielewi watawala hawa wanaona nini kwa limbukeni huyu
 
Huyu na wezi wenzake wote hizo pesa watazitolea kwenye matundu yote ya miili yao. Lini? Hata mimi sijui. Ila anakuja kiongozi atakaezirudisha hizi pesa za watanzania
 
Safi sana Shamba la Alli mbuzi wa Alli wakulane hamna shida.
Bora huyu kasema bila chenga.
Huko ndio ukweli japo unauma!!
 
Kama ni mtoto pendwa basi Serikali hii ijiuzulu kwani hakuna utawala Bora na haki.
WaTanzania tujue haya mambo ni mpaka lini ? Nani mchawi alituloga?!
 
Mnataka kusema mwingulu kasepa na Kijiji Cha noti

Ila mwingulu anaonekana mjanja mjanja tu siku zote.

Kama kapata gap basi tumekwisha.
 
Mpina kakomaa na Mwigulu mpaka kieleweke
 
😂😂😂😂😂 Dah! We jamaa fala sana, umenifanya nicheke japo foleni ya kurudi home imenichosha.
 
😂😂😂😂😂 Dah! We jamaa fala sana, umenifanya nicheke japo foleni ya kurudi home imenichosha.
😀 tucheke tu maana hawa majamaa ukisema uwafikirie unaweza ukakata tamaa ya maisha. Kama uliwahi kusoma makala za Mzee Mihangwa kwenye Rai na Raia Mwema basi hutashangaa Mwigulu kujichotea mihela. Kuna makala ya jinsi Marehemu Balali, Yona, Chenge, Mramba na mke wa Balali walivyojipigia mihela kwenye madini unaweza ukalia sana.
 
Hahahaha mbususu hile
 
papuchi ya uw..., ni ile ile au nyingine? si bora tu angeenda ohio hapo angepata iliyo nafuu?
 
Kwa ujuavyo unahisi raisi tulie nae ana nguvu ya kumtoa mwigu au anauwezo wakupambana na ufisadi kama mtangulizi wake. Japo jiwe alikua na miyeyusho ila hakuruhusu upigaji wa kijinga hivi
 
INABIDI AONDOKE YEYEE...

AENDOKE MAPEMAA ... YEEYEE... KASHINDWA KWA AIBUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…