Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

Duuuh aseee kwaiyo ni uongo na hakuna ufisadi uliofanyika hata shs 100 πŸ€”πŸ€”


Duuh sawa yangu macho tu
CAG alichosema ni estimate ambazo gharama zimeongezeka kwa tsh 1.7 na Mwigulu anapewa lawama kupitisha hiyo tender bila ya ushindani.

Lakini estimate zenyewe yardstick ya CAG ni miles costs za ujenzi wa awamu ya kwanza. Hilo nalo ni questionable kama gharama zinaweza kuwa sawa kwa sababu nyingi sana zinaweza pishana.

Mwisho wa siku huo ujenzi ata kuanza sidhani au kama umeanza upo hatua za mwanzo, na wanalipwa kwa certificate sasa hiyo hela Mwigulu ataichota saa ngapi yote.
 
Ok nimeelewa mkuuu shukrani πŸ’ͺπŸ‘
 
hayo maneno ya wajukuu sasa
Ukweli mchungu vifo vyote vya matajiri nilivyohudhuria watoto wamelia sana

Ila walifarijiwa na ukwasi wa wazazi wao au baba yao aliowaachia imagine mtu anaachiwa apartment 7,nyumba 1,gari 3,account benki billioni 9.7, hapo kaajiriwa sehemu nzuri

Ni mwendo wa kulamba asali tu mpaka unaingia kaburini

Usijifariji na hio kauli ya "sote tutakufa"

Hizi waachie mapadri na masista wasio na watoto wewe zitakuumiza sana pamoja na uzao wako

Hayo ni yangu
 
Sema wengi ni watoto tu akili hawana, wanachezea mnoo...wasipokaa sawa badae watakuja kuwa machizi barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…