Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

Tanzania ni nchi ya simpletons, kwa political democracy bado (democracy ni dhana pana). Simaanishi mazuio ya kutokosoa serikali au kuwapangia watu namna ya kuishi.

Nonetheless nchi inahitaji social reformers (technocrats). Either kutoka kwenye vyama vya au civil servants (ideally) kuweka mambo sawa for atleast 20 years. But the nation needs proper civil servants in control on running the show.

Ukisoma mijadala ya JF jukwaa la siasa over 90% not only they don’t understand politics but how things work generally.

Ndio ukweli
 
Luhaga apelekwe Mirembe akatibiwe ameshakuwa mwehu. Akikosa ubunge 2025 huyo ataishia kuokota makopo. Hawezi siasa
Kila msema ukweli haiwezi siasa?


Acha kulamba watu viatu. Kifikirie kizazi chako hapo badae
 
Luhaga apelekwe Mirembe akatibiwe ameshakuwa mwehu. Akikosa ubunge 2025 huyo ataishia kuokota makopo. Hawezi siasa
Kwenye kichwa chako wewe Mpina hajui consequences za anayo ongea.

Ushaona waziri yeyote ambae kapitia succession planning ya CCM kwa sasa ana tweet sifa za raisi Samia.

Wote washaiba mpaka wanaona aibu tena kusifia.

Wezi waliobaki ni civil servants na machawa wao, ila kwa mawaziri waliolelewa na CCM kwa utajiri walio nao, ata wao wanasema nyuma ya pazia it’s too much.

Hakuna waziri atakae tumbuliwa leo na kulalamika, wote wameshiba; sana sana wanashangaa usimamizi mmbovu uliopo wa kuwasimamia.

It’s OK kama ni mnufaika wa mfumo wa leo, vinginevyo unatetea ujinga wa hali ya juu ambao hujui unavyonufaisha genge la watu wachache.
 
Back
Top Bottom