Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

Mnaofikir hizo pesa anakula Mwigulu peke yake hamuelew mambo yanavyoenda hizo pesa zinavukishwa maji pia.
 
Inawezekana Kafulila yuko sahihi .

Inawezekana wakandarasi kweli wana Accounts pana kiasi hicho .

Inawezekana ndiyo Masharti ya hiyo mikopo .

Inawezekana kuna miradi miradi mikubwa inafanywa hatuijui ndio maana tunashangaa hizi pesa zilikwenda wapi .

Trilioni 7 ni pesa nyingi sana kutopitia hazina , na unajiuliza hazina wanalipaje mikopo kupitia taarifa tu .​
 
Tanzania ni nchi ya simpletons, kwa political democracy bado (democracy ni dhana pana). Simaanishi mazuio ya kutokosoa serikali au kuwapangia watu namna ya kuishi.

Nonetheless nchi inahitaji social reformers (technocrats). Either kutoka kwenye vyama vya au civil servants (ideally) kuweka mambo sawa for atleast 20 years. But the nation needs proper civil servants in control on running the show.

Ukisoma mijadala ya JF jukwaa la siasa over 90% not only they don’t understand politics but how things work generally.

Ndio ukweli

Kingereza Kingi, but uchafu tu takataka, wewe unayejua siasa umesaidia Nini? Bora hawa wasiojua angalau wanapiga kelele unaleta hofu!
 
Mambo yanazidi kua ya moto.

Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
Mpina Huwa ni mzushi na muongo muongo ndio maana Toka ameanza kuja na uzushi hakuna kilichowahi fanikiwa kuitikisa Nchi.

Ana shida binafsi na Mwigulu na Bashe so ni WA kupuuzwa maana katika hali ya kawaida hicho anachoswma haiwezekani.

Wanaojua wamemjibu hapa David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa
 
Inawezekana Kafulila yuko sahihi .

Inawezekana wakandarasi kweli wana Accounts pana kiasi hicho .

Inawezekana ndiyo Masharti ya hiyo mikopo .

Inawezekana kuna miradi miradi mikubwa inafanywa hatuijui ndio maana tunashangaa hizi pesa zilikwenda wapi .

Trilioni 7 ni pesa nyingi sana kutopitia hazina , na unajiuliza hazina wanalipaje mikopo kupitia taarifa tu .​
Mnalishwa uzushi na Mpina ,hivi amewaambia kwamba Mkoani kwake Kuna mradi hui hapa wa Mkopo?
Screenshot_20250130-173909.jpg
 
Asije ikawa hizo ndo fedha kawanunua wale wachezaji ma pro wa Singida.
 
Daaah CHURA akuna MTU mle!!.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mambo yanazidi kua ya moto.

Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
Singida BS. Kikwete kahakikisha Nchimbi anakuwa Makamu wa Rais baada ya uchaguzi wa 2025 anajua hata ikitokea yeye JK akawa keshatangulia mbele ya haki kina Ridhiwani wasije kupata taabu, na ikitokea akawepo miaka hiyo basi mambo yake yanyooke tu.
 
Back
Top Bottom