Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aiseee hii ni hatari sana, hii mikopo asilimia kubwa inaishia mfuko wa waheshimiwa. No wonder they dont careMambo yanazidi kua ya moto.
Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
Rais wa mawe na korido za mikoa ndo katufanyia hivi?Mambo yanazidi kua ya moto.
Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
Tunaendelea tulipoishiaMambo yanazidi kua ya moto.
Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
Asante sana Trump kwa kukata misaada. Kunazidi kuchangamka.Mambo yanazidi kua ya moto.
Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
Luhaga apelekwe Mirembe akatibiwe ameshakuwa mwehu. Akikosa ubunge 2025 huyo ataishia kuokota makopo. Hawezi siasaMambo yanazidi kua ya moto.
Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
Kila msema ukweli haiwezi siasa?Luhaga apelekwe Mirembe akatibiwe ameshakuwa mwehu. Akikosa ubunge 2025 huyo ataishia kuokota makopo. Hawezi siasa
Kwenye kichwa chako wewe Mpina hajui consequences za anayo ongea.Luhaga apelekwe Mirembe akatibiwe ameshakuwa mwehu. Akikosa ubunge 2025 huyo ataishia kuokota makopo. Hawezi siasa
Huyo madelu ni kuwadi wa mama. Wanaiba pesa ya kuchakachulia uchaguzi ujao mwanangu. kama hujui ujue. macc ni majizi hakuna mfano. Uzuri naona hilo limadelu kama linaumwa.Mambo yanazidi kua ya moto.
Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.