Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Naona suala la serikali 3 linaanza kuwakomboa wengi na ni mwanzo wa chadema kupata audience zanzibar
 
We mfia dini Zanzibar sio nchi ya waislamu ni ya watu wa dini zote na kila mtu ana haki sawa ndani ya Zanzibar.Na kama uislamu wenyewe unaojivunia nao ni wakulipua makanisa,kumwagia watu tindikali,kupiga mapadri risasi,kubagua watu,kunyanyasa wageni na kujilipua walahi hicho kisiwa itakuwa halali yetu mwataka msitake lazima mdhibitiwe hata kwa nguvu ya mtutu.
 
Na nikuulize: kumzuia Salim asipite 2015 kwa hoja kwamba yeye ni hizbu, mwarabu, mpemba, je mtandao wa kina Lukuvi ulikuwa unaogopa serikali ya kidini?

Lukuvi - hata mimi nimemsikiliza na kumrekodi. Anachojaribu kufanya ni kuunganisha hoja ya Tanganyika na uislamu, hakuna kingine. Katika utafiti wake amegundua kwamba zanzibar imeshabaini kwamba bila ya Tanganyika, mamlaka kamili katika masuala nje ya muungano haiwezekani. Na hilo likitokea, CCM haitakuwa na uhalali mwingine wa kutawala. Nani ataipa kura au kusikiliza kampeni za wagombea urais wa Tanganyika, wakati waliikana? Nani ataipa kura urais wa muungano wa shirikisho wakati waliukana? Nani ataipa kura zanzibar wakati CCM ilikuwa inawanyima mamlaka kamili nje ya masuala ya muungano kwa kuikataa Tanganyika?

Lukuvi and company wameshaona shida iliyopo mbeleni. That's the bottom line.



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums


Mkuu sina cha kuchangia ila nataka tu kuweka kumbukumbu sawa kua hapa ilikua mwaka 2005, nadhani umepitiwa kidogo.
 
Tatizo kubwa Tanzania uwa hakuna Mkirsto mdini lakini kutokana na kauli ya Lukuvi kuwafurahisha wakirsto wenzake hakuna tatizo.

Huu muungano upo chini ya Kanisa, angalia kauli za Mrema na Lukuvi.

Wazanzibar pambaneni muikomboe nchi yenu kutoka kwenye mikono ya Kanisa.
 
C.C.M Catholic Church Movement......Insha-Allah dada wache wapange na Mwenyezi Mungu anapanga...Na yeye ni mzuri wa Kupanga...Allah azidi kutufahamisha hili na jengine...Bado waislam wa Zanzibar tunafuraha ya kuwa pamoja na waislam walioko Bara...hakijaharibika kitu Dada....kama ukichunguza kwa mbaali Naona kheri haiko mbali inakuja...Allah akikupa siri ilioko nyoyoni mwa adui yako..hii ni moja hatua ya ushindi...

Ha ha ha ha ha.......Leo ni full vichekesho....Dahhhh...Kumbe hiki ndio Kirefu cha CCM.....

Hakika Kanisa Katoliki ni powerfull church ever...Kanisa ni kama maji....Lazima uyanywe, usipoyanywa utayakoga, kufulia, au kunyeshea bustani.....

Hakika na hichi ndicho nilichokuwa nasubiria kwa hamu.... CCM kumbe ni Chama cha Kikatoliki.....

Na bado....
 
Nilifahamu kutoka zamani kuwa Lukuvi ni mjinga.Lakini ambacho sikukifahamu kabla ni kuwa ujinga wake ni ule uliotopea, Kiasi cha kushindwa kuzuia hulka zake ovu, wakati huu nyeti wa kupigania upatikanaji wa katiba mpya kwa mujibu wa matakwa na maoni ya watanzania, na si chama tawala.

Hana budi awaombe radhi Watanzania iwapo bado ana chembe ya uungwana. Vinginevyo imetonesha vidonda vya udini ambavyo vilishasilibwa dawa ili vikauke na kupona kkabisa.
 
Nadhani mtoa hoja anakuwa "paranoid" tu! Mtu mmoja kama Lukuvi kuwa na "islamaphobia" haina maana ni conclusion tosha kwamba ni mfumo kristu unatawala hapa. Uki-reason hivyo unakuwa na tofauti gani na Lukuvi? tatizo la watu kama mtoa hoja is that they always see a snake in every little shrub! Yaani wao kila mjusi ni Nyoka!! Treat Lukuvi as Lukuvi na sio mfumo kristu. Vingozi wakuu watatu wa nchi ni Waislam- Rais, Makamu wa Rais na Rais wa Zanzibar how do you say that ni mfumo kristu?
 
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".

Jana nikauliza ni waziri gani huyo? sikupata jibu humu JF.

Lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na Waziri Mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".

Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza Lipumba.

Kwa uchache, Lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "Islamophobia" au hofu ya Uislaam.

Kiongozi unaefikia kutangaza Kanisani na Bungeni kuwa hutaki kuwapa mamlaka kamili Zanzibar kwa ajili ya dini yao, kweli hiyo si Serikali ya Mfumo Kristo tunayoilalamikia siku zote humu?

Na leo Lukuvi kahitimisha kwa kuniunga mkono yale ninayoyasema humu kila siku kuwa huu Muungano upo kwa ajili ya Kanisa. Na unaongozwa na Kanisa. Huwa mnajifanya hamnielewi lakini leo yamebainika bayana.

Wanaonisikitisha zaidi ni wale Wazanzibari waliobaki kuipigia makofi hoja hii ya Lukuvi, halafu wanajiita wao Waislaam. Waislaam mnaambiwa hampewi nchi yenu kwa kuwa Lukuvi ana hofu mkipewa mtaifanya dola ya Kiislaam na nyinyi mnashangilia? Yaani Lukuvi anawaambia kinaga ubaga kuwa mtabaki ndani ya mfuko Kristo mkitaka msitake na mkikataa basi ni bora nchi hii ishikwe na jeshi na akafikia mpaka kuwapa mfano wa Islamic Brotherhood ya Egypt.

Kinachonishangaza hii hofu yanini kwa Lukuvi? ikiwa nchi anayoiongelea ni Zanzibar na Wazanzibari 99% ni Waislaam ikiwa wataamuwa nchi yao kuwa ya Kiislaam yeye anapatwa na hofu ya nini?

cc Ritz, gombesugu kahtaan
Moderator tafadhali usiiunganishe hii na nyuzi nyingine hii maudhui yake inajitegemea.

Siku zote unatetea Ccm leo ndo umetambua? Kumbe wengi bado ni vipofu ? Na bado kadri siku zinavyowenda ndo mtayajua mengi kuhusu wao chichiemu
 
Last edited by a moderator:
Maoni yng kwa dada Faizafoxy.

hongera sana kwa kufatilia siasa za Tanzania,natamani ningeoa mke mwanasiasa mwenye upeo kama wako,Mungu akupe nguvu,na, kesho utupe habari mpya.
 
tatizo mleta mada ni mdini sana inamana hujui kuwa uamsho ndyo wanaochoma makanisa?na haohao ndyo wanaodai jamhuri ya zanzbr mbona hujawahi kuwalaani wanaochoma makanisa.tatizo hamtaki ukweli .mi binafsi nataka serekali 1
Hivi kuna mdini kama Nyerere na Lukuvi na Mrema.

Muungano wa Kanisa huu ndiyo maana Pengo povu linamtoka ovyo.
 
Allah awapige laana kumwita Fox ni mnafiki....

Ndio ni mnafiki sana...Yeye kutwa yupo hapa JF kuisifia CCM....Kwani huyo Lukuvi yupo upinzani??? Hapana ni mwana CCM safi...Anamwakilusha JK na Chama tukufu......

Leo mbona anainanga CCM na mwakilishi wake Lukuvi...???

Huo ndio unafiki wenyewe......Na bado
 
Lukuvi leo kadhihirisha kinaga ubaga kuwa Serikali inaendeshwa kimfumo kristo. Haya tuliyajadili sana kwenye nyuzi ya Mohamed Said, watu wakapinga sana na kutubeza sana Waislaam. Lakini leo Lukuvi kadhihirisha na kasema ana "hofu" na hiyo hofu (phobia) yake kwa Uislaam hakuna wa kumzuwia.

Kikwete, ndio waziri wako huyo, ana hofu na Uislaam, jee hana hofu na wewe?

Faiza unanishangaza sana, hivi kweli wewe ulikuwa hujui hili siku zote? Kwa hiyo leo baada ya Lukuvi kusema hivyo kanisanai ndio umeshtuka?

CCM wanang'angania ZNZ kwa msalahi yao.. na kanisa.
 
Nioneshe ni wapi niliitetea Serikali mbili? mimi sijali iwe moja, mbili au tatu.

Lakini leo hujamsikia lukuvi? ansema na hofu na Uislaam kuwa Zanzibar ikiwa na mamlaka kamili itakuwa Dola ya Kiislaam.

Tena kakiri kuwa maneno hayo kayasema kanisani na kakiri kuwa alitumwa na Waziri Mkuu.

Tunaposema, Tanzania tunaendeshwa na mfumo kristo , huwa mnabisha, haya bisheni sasa.
Acha fitina zako.Lukuvi alikuwa wazi.Kasema alitumwa na Waziri Mkuu lakini hakupewa hotuba ya kusoma.alisema alivyoona vema.Kwa nini wewe hupingi kuingiza udini kwenye Serekali?Kwani Lukuvi ndie kiongozi wa kwanza kuzungumza kwenye nyumba za ibada?Hembu waulize hao wa ukawa wakuelimishe
 
Jibu hoja zangu, Jee, Lukuvi unamuweka kundi lipi? au na wewe una Islamophobia kama Lukuvi?

Na huu nduo unafiki wako...Unataka tumuongelee Lukuvi kivyake wakati Lukuvi amebeba mawazo na mtizamo wa Chama chako Tukufu CCM.......

Lukuvi hana tatizo, tatizo ni CCM...Labda tujadili hilo...
 
FaizaFoxy acha kupotosha umma wa Jf.tupo chonjo sana kufatilia juhudi zenu za kutaka ku- associate stutus quo ya kinacho endelea ktk BMK na udini.tatizo linajulikana lipo wapi;ni CCM ambayo wewe siku zote umekuwa ukiiunga mkono.usisahau kwamba hata W/lukuvi ni mwana ccm mwenzako.
huwa najiuliza,kama kauli hiyo ungetamkwa na mbowe au lissu hali ingekuwaje!.
Hakuna tena maswala ya CCM hapa ni udini ndiyo unaongoza ligi mnapita makanisani kutangaza ufatani wenu.

Mfumo Kristo aliouacha Nyerere tutaakikisha tunapambana nao mpaka dakika za mwisho.

Wazanzibar pambaneni mvunje huu muungano wa Kanisa.
 
Last edited by a moderator:
Faiza unamaanisha wanaccm wote ni wakristo? mbona wewe ni muislam na wanaccm wenzio ndo vinara wa kupinga serikali tatu? Vita kawawa ni mkristo? wale wamama kibao wa zanzibar waliovaa hijab wanaopinga serikali tatu wakidai wabara wasiwasemee nao ni wakristo? kama ni udini zanzibar inaongoza,nitajie kiongozi yeyote mkristo anayetoka zanzibar,huo mfumo kristo mliokaririshwa ndio unawanyima uhuru wenu,viongozi wenu wanajua wanachokifanya,nyie mnakaria ushabiki na kuendeleza chuki dhidi ya ukristo.Subiri mkibaki peke yenu ndo mtajua kumbe uislam una shia na suni na kuanza kuuana kama pakstani na kashmir india.
 
Katika viongozi ambao huwa najiuliza imekuwaje wakawa viongozi ni LUKUVI japo mimi ni mkristo lakini obvious amefanya kitu cha kipuuzi..kwenda kuongea masuala ya kisiasa kanisani huku akijenga hoja kwa mlengwa wa dini tena nyingine its totally a disgrace. viongozi wa namna hii wanalipeleka Taifa pabaya mno..Tuing'ang'anie Zanzibar kwa sababu wakiwa na serikali yao wataifanya nchi yao kuwa ya kiislamu! Kama wao wazanzibari wataona inafaaa kwao kwa maslahi yao kufanya hivyo baada ya wao kuwa nchi kamili sasa kuna ubaya gani? Kwa hiyo huu muungano ni wa lazima na utaendelea milele kwa sababu eti tukitengana nao watakuwa nchi ya kiislamu? Kwani mimi nikiamua kuvunja nyumba yangu ya tofali na kuamua kujenga ya chuma utanilazimisha nisijenge kwa sababu wewe hautaki? Hapa ndipo inapojidhihirisha misingi ya huu muungano si imara na upo tu kama kiini macho!!
Wewe nawe ni mwongo au unajikomba tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom