Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Hiyo clip mbona ni ya siku nyingi, nadhani ilikua Dodoma 2016 kwenye kanisa flani.
 
Kumbe mjinga kiasi hiki
 
Ni kweli kabisa hatutakiwi kuwaachilia hawa jamaa kama wakenyabwalivyowaachilia somalia sasa wanawasumbua kwelikweli
 
Aliyeibua hii clip kwa sasa hana nia njema na umoja wetu! Ni mchonganishi!!
 

Mkuu ki ukweli mwalimu alikuwa anaona mbali kwa maana kuuchanganya mchanga wa bara na visiwani kulikuwa na maana kubwa sana mwalimu alikuwa ameangalia sana usalama wa taifa lake na hesabu zake zilikuwa kali sana maana kama mwalimu asinge Fanya hvyo ingekuwa ni rahisi sana kwa adui kutushambilia wala asinge pata tabu sana angekimbilia visiwani na kuweka kambi hapo na hiyo ndio ingekuwa ticket yake ya ushindi


Na ukikaa chini na kufanya tathimini ingekuwa rahisi sana kwa adaui kufanya mashambulizi kuja bara na adui angefanikiwa kwa asilimia kubwa kuipukutisha bara maana angeanzia na white house maana ipo pembezoni mwa bahari ya hindi pamoja nyumba nyingi za viongozi zilikuwa karibu sana na ufukwe wa bahari ya hindi na serikili iketetereka Kwahyo adui hawezi kufanya kitu kwakuwa sisi wote ni wamoja

Kwa wale ambao hawaoni faida ya muungano na wanao kalia kupiga kelele tuwasamehe kwa kuwa hawajui walisemalo.
 
Wabongo ni watu ambao vichwa vyao ni ngumu kueleweka! Kung'ang'ania wang'ang'anie wenyewe then kuna mijitu itakuja hapa kulalamika kuwa Zanzibar inawanyonya! Nonsense.
 
Au adui angeweka maendeleo makubwa ya biashara,makazi na elimu na sisi tungenung'unija.
 
Huyo adui ni nani?Kama ni Sultan angetaka kurudi Unguja angekua na madhara gani kwa Bara?Kama ni hofu ya kupakana na bahari mbona Kenya na Msumbiji hazijawahi kushambuliwa kutokea baharini?Hii theory huwa naiona haina ukweli wowote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…