Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Mkuu Ritz,

Wajua mie sijapatapo kumsikia huyo kiumbe aitwae Lukuvi...ndo kwanza leo kwenye hii mada ya FaizaFoxy!

Sasa,najaribu kupitia baadhi ya link/s na previous thread/s humu-JF, ili nijaribu kumsoma uzuri!? Daah!

Lakini pia nipo hapa jamvini kwa utuvu.

Tuko pamoja!

Ahsanta.
 
Mijitu mingine ovyo sana. Ndugu zetu watanganyika wapo zanzibar jumamosi kutetea zanzibar na tanganyika(thank you true friends) wao wapo tangayika kusaliti Zanzibar.
 
Uchambuzi wako unaonyesha wazi kuwa tatizo ni ccm!
Siku zote tukisema kuwa CCM ndio muasisi na mchochezi wa udini katika taifa hili FaizaFox alikuwa mstari wa mbele kuitetea CCM. Imekuwaje leo? Lukuvi kakufumbua macho?
 
Yes! Huyu FaizaFoxy nimesoma mara nyingi maandiko yake, hudhani CCM ni mtetezi wake, ni kinga yake, ni mkombozi wake, n.k. Lakini anashindwa kabisa kuelewa kwamba huwezi kumutegemea CCM wakati unajua ni kundi lisilo na ethics. Watakufanyia lolote!

Leo sasa wamemuning'iniza na badala ya kuona ni kasoro ya CCM bado anapinda na kusema ukristo sijui ni nini!.... hai hoi hai hoi! Next time unapowasifia CCM ujue ni kazi ya kusafisha paka. Hakuna faida na sana sana tegemea makucha.

Naema Ukristo? Lukuvi alipokuwa anajitetea bungeni leo hii, kashindwa hata kusema kuwa hayo maneno kayaongelea kanisani, kasema maneno niliyoyangea mitaani! Dah kajikoroga ile mbaya.

Sasa mimi nakuuliza wewe, Kanisani kuna Uislaam au Ukristo? na mkienda kanisani huwa mnaongelea Uislaam? jibu ni ndio, kutoka kwa Lukuvi, anasema alikuwa anatoa hofu yake na hiyo ni imani yake na hakuna wakumzuia hata katiba haiwezi kumzuia. Kishajisahau kuwa mwanzoni alisema pale alitumwa na Waziri Mkuu.

Hakika, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Professor Lipumba leo amesema anakwenda Zanzibar kuwaelezea wananchi kinachoendelea, nna uhakika mada kuu haitoliwacha hili la Lukuvi. Au unasemaje?

Anakwenda kushitaki kwa wananchi wa Zanzibar.
 
Humjui Ritz wewe teh teh teh

Ritz comedian anawapelekesha akina faizafox na anayebishana nae atakoma maana hana point,mi nimemjua humu watu wengi hawaipendi ccm yy yuko huko,hali kadhalika kwenye ubiishi huu maana huna hoja
 
Soma hii bayana, hata siku moja mwizi huwa hakubali kama ameiba.

Amandla....

Nimeisoma bayana sasa niambie inahusiana nini na Lukuvi na Lipumba? Ninachoona ni Askofu Msonganzila akikana kuwepo kwa mfumo Kristo ambao nyinyi wenye Vaticanphobia mnadai upo.

Amandla.......
 
Professor Lipumba leo amesema anakwenda Zanzibar kuwaelezea wananchi kinachoendelea, nna uhakika mada kuu haitoliwacha hili la Lukuvi. Au unasemaje?

Anakwenda kushitaki kwa wananchi wa Zanzibar.

Ataenda kuwaambia kuwa Kafir Lukuvi anawaogopa kwa sababu wanawapiga risasi wakristu, wanawamwagia tindikali mabinti zao, wanawachomea makanisa?

Mimi ningetegemea angeenda kwenye makanisa kupinga hoja ya huyu Kafir?

Kazi kweli anayo.

Amandla......
 
tukiwaambia magamba ni janga hamuamini mnazidi kuipigia debe! Sasa mbwa kala mwanae unalia lia nini? Kapike urojo wa bwanao usitupigie kelele humu...

Hapa hamna gamba wala gwanda, hapa kuna mfumo kristo. Kusoma huwezi basi hata video imekushinda kusikiliza? utakuwa ndio wale wale.
 
Nimeisoma bayana sasa niambie inahusiana nini na Lukuvi na Lipumba? Ninachoona ni Askofu Msonganzila akikana kuwepo kwa mfumo Kristo ambao nyinyi wenye Vaticanphobia mnadai upo.

Amandla.......
Kamanda naona povu linakutoka kweli kweli, aliyeanzisha yote hayo ni Nyerere, pambanana kumtetea Nyerere lakini tambua unachofanya ni kuziba shimo la panya kwa mkate.
 
Kamanda naona povu linakutoka kweli kweli, aliyeanzisha yote hayo ni Nyerere, pambanana kumtetea Nyerere lakini tambua unachofanya ni kuziba shimo la panya kwa mkate.

Nimemtetea wapi Nyerere? Kumbe si Vaticanphobia tu inayokusumbua bali na Nyereremitis nayo inakupa shida!

Pole.

Amandla.......
 
Sasa waislam wanavyojilipua left, right and centre, unaweza kusema hofu yake iko baseless?

Totally baseless, si yeye tu. Kila mwenye uadui na Uislaam lazima awe na hofu.

Kalikoroga, sasa alinywe.
 
Hawa CCM ni hatari sana, 2010 walijipitisha kwa Waislam (Yusuph Makamba) wakisema Slaa ni Padre, ataleta mfumo Kristo,
2005 walisema CUF chama cha kiislam, chama cha kigaidi.

Leo hii wanasema serikali Tatu ambazo wanaona zinaungwa mkono na vyama pinzani (kumbe ni maoni ya wananchi) wanasema italeta dola ya kiislam!

Tukiyasikiliza na kuyaamini maneno yao tutapigana na kuuana hapa wakati wao wana hsti za kisafiria muda wote
 
IKIWA WAZANZIBAR HATUPEWI MAMLAKA YETU KWA SABABU YA DINI YETU ''SIMPLE IT IS DECLARATION OF WAR'' with unpredictable consequences( NI TANGAZO LA VITA vitakavyokua na athari zisizo tabirika sio tu kwa tanzania bali kwa eneo zima la EAST AFRICA. this is very dangerous move toward a civil war.
LUKUVI amegusa maeneo mawili vyeti sana kwa mtu yeyote DINI NA UTAIFA.
tuombe MUNGU WATANZANIA huu usiwe msimamo wa wengi lakini vyenginevyo huyu jamaa kashawasha moto kuliko alouwasha PINDA aliposema zanzibar si nchi. nimewakuta watu wanajadili kauli yake ndani ya msikiti znz.

plz watanzania halahala mti na jicho
 
Hiyo inaitwa divide and rule..... Msikubali kutumiwa kurahisi rahisi hivi watanzania hamjifunzi?

Siju CUF wakiwa na nguvu ooh waislam siku CDM wakinyanyuka ooh wakristo; So why dont you tell this CCM chaps wao dini yao ni ipi? Kama hawamo katika hizi mbili basi wamo kwenye cult!

Hivi Rais Mwiisilam anakinga zote na ameweza hata kubadili mtizamo wa hao hao wajumbe hata kuikana rasimu iliyopitishwa ashindwe kuuvunja huo mfumo kristo mnaoulalamikia kama upo?

Huo ukristo na uislam --------- na hao kama ambavyo wanamtumia baba wa Taifa Nyerere kwa style ile iliyosemwa na Mh Warioba; HIRIZI!

Dont be fooled, kwanza wanataka kuwavuruga na UKAWA yenu hiyo mgawanyike christians and Muslims wapate kuendeleza agenda zao
 
Totally baseless, si yeye tu. Kila mwenye uadui na Uislaam lazima awe na hofu.

Kalikoroga, sasa alinywe.

Tatizo uislamu si kitu kimoja.

Ukitaka dini yenye rehema na suluhu utaipata katika uislamu.

Ukitaka dini uenye kisasi na kuchinjana utaipata katika uislamu.

Sasa Lukuvi akiangalia Boko Haram na Al-Qaeda na kuwa concerned kuhusu uislamu, unaweza kumlaumu na kusema phobia yake iko baseless?
 
Uislam unaogopwa dunia nzima, cha ajabu ni nini apo.
Cha msingi uislam ubadili itikadi za ugaidi na kujitoa muhanga.
 
IKIWA WAZANZIBAR HATUPEWI MAMLAKA YETU KWA SABABU YA DINI YETU ''SIMPLE IT IS DECLARATION OF WAR'' with unpredictable consequences( NI TANGAZO LA VITA vitakavyokua na athari zisizo tabirika sio tu kwa tanzania bali kwa eneo zima la EAST AFRICA. this is very dangerous move toward a civil war.
LUKUVI amegusa maeneo mawili vyeti sana kwa mtu yeyote DINI NA UTAIFA.
tuombe MUNGU WATANZANIA huu usiwe msimamo wa wengi lakini vyenginevyo huyu jamaa kashawasha moto kuliko alouwasha PINDA aliposema zanzibar si nchi. nimewakuta watu wanajadili kauli yake ndani ya msikiti znz.

plz watanzania halahala mti na jicho

Mtakuwa mme justify anachokitafuta.... Jeshi lichukue nchi!

Why cant you think critically kuwa wameona maji marefu na hivyo kuliko washindwe bora tukose wote?

Hakuna wakupigana, watatoana ngeu wao kwa wao kuweni tu wavumilivu. Hasira ni hasara just be composed and wait to see!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom