Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

....wekeni kwa kifupi amnachoongea huyo mnyalu...
 
Eti hawamajamaa wameshaelewa cuf watachukua zanz na tanganyika cdm na mungano atabaisha ccm,hvi hawa majamaa wana nia nzurh kweli na nch hi
 
Tatizo kila kitu ccm ni siasa, Binafsi sijapenda kulitajataja Jeshi bila sababu za msingi.

Hivi yule alietumika kutishia wananchi 2010 kwenye uchaguzi yuko wapi wamtumie na leo.
 
Anambwelambwela tu hapa na mwenyekit anazidi kumpa muda aendelee kuharibu anakoelekea anazid kupotea kuchamba kwingi kunamponza
 
Hofu angu ni ubaguzi wakidini na rangi nadalili zipo,cuf ni uamsho,hawa uamsho unamvyotaja nyerer nakarume wanasema alaaniwe,,kwnn cuf wanajificha chni ya mwavuli wakidini,na cuf ikichukua znz ni sera ya uamsho ndyo itakayotawala,wanasema serik3 sbb ya malengo yao wanayojua,
 
Mnafki uyo,uwaziri hadi bunge la katiba kapata muda wote kuchangia
 
Hakuna mahala ambapo jeshi
limechonganishwa na watanzania lakini wewe kwa matakwa yako binafsi
unataka kutengeneza mgogoro ambao wewe unadhani ni sahihi lakini hapana
hapana hapana hapana hapana.

Timiza kwanza ushauri niliokupa hapo juu ndipo uludi tujadiriane ukiwa vizuri Kauli iliyotolewa na viongozi wako hazikubaliwi na watu wenye utimamu kichwani ni majuha tu ndio wenye kufurahia kauli kama hizo.

BACK TANGANYIKA
 
Sielewi na kwanini Mh.sita anamuwacha anapoteza muda

Hili alozungumza na anavoendelea kuzungumza ndio anazidi kutuanzisha vita vya kimbari

Kwanini anaachwa aendelee kuzungumza mambo haya jamani

Ccm nchi munaizamisha hii, jamani maneno haya anayoendelea kuyazungumza huyu Lukuvi kama nchi nyengne akitoka hapo anatakiwa akaoze jela

Huyu ndio atakauwana kiongozi wa Mwanzo Tz anayeanza kuweka rekodi ya vita vya ukabila na udini

Lukuvi wewe ni kiongozi tahadhari Tanzania munaizika.
 
Anazidi kusisitiza kuwa Serikali tatu zitasabbisha vita na hakuna atakayemzuia kuamini
na kusema hivyo, hayo yametokea kati ya Korea kusini na kaskazini hivyo Zanzibar na Tanganyika
itakuwa vivyo hivyo.

Ni Mgonjwa Anaelekea India amezuiliwa airport hili aje kujibu hoja nadhani, kazi kweli kweli Tanzania

Kingine naona anajiamini sanaaa, anadharau huyu mbaba, chiku abwao ajiandae amtoe huyu mbaba

Anaponda Uwamsho sasa kwa kuita karume na nyerere makafiri, sasa ni dakika ya 45 anatililika tuuuuuuu
 
ana lalamikia uamsho....

Wamemnyanyapaa Sheikh Farid na kumsweka rumande kwa kumsingizia ni mchochezi, leo wao wanakwenda hadi makanisani kutuchonganisha kwa propaganda zao. Kwakweli mh. Lipumba kuwabatiza jina la Interahamwe hakukosea.
 
Huko kulewa madaraka,na mwenyekiti anampa muda mwingi tu wakat anaongea ujinga tu,kwenye masuala ya katiba unazungumziaje dini na kabila za watu hana anachoongea kaz kutaja watu tu,akil ndogo huzungumzia watu.


lukuvi jibu hoja acha kubwabwaja
 
Dah Dingi anajidhalilisha kweli hyo kali ya mwaka kwa familia yke
 
Back
Top Bottom