Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Mm ninazaidi ya miaka 50 nisengependa kuanza maisha nisiyozoea lazima jesh litachukua nchi tukiruhusu muundo wa serikali3 sbb jesh litashndwa kulipwa sbb serikali ya mungano haina vyanzo vyakipato,

Acha u......ga wewe kwani sasa hatutawaliwi na jeshi

rais--kanali wa jeshi
wakuu wa mikoa ----wanajeshi
wakuu wa wilaya-----wanajeshi

au wewe unaongelea jeshi gani??????
 
Serikali3 itapunguza maendeleo yenu,,serikali ni 2,,lipumba amesema hapa bungeni yy ni mwenyekiti wa cuf na maslahi mapana znz hapa hakuna hofu ya udini anasema lukuvi,,ndgu yangu mrema amesema ukweli nani mpinzani wakweli nahakuna km yy ndyo mpnzn aliyepata kura nyng nakaribu aingie ikulu amesema kweli na nitapigania maslahi yako ndgu angu mrema
 
Hakuna chochote kitachozuia mm kusema,nitasema kweli na nitarudia kusema kweli nikweli cku ,,,tbc wanakataka matangazo jamani kudadedeki tbccc,,,,
AIRE MAN FaizaFoxy , Ritz CHAMVIGA
===>Mmeisikia hofu ya Lukuvi, jipangeni,muyaone hao mnaowatetea sana mmewasikia wana hofu na nani
===>Lukuvi ameigawa nchi kwenye mapande makubwa mawili,ya kutoaminiana baina ya dini hizi mbili.
 
"Uamusho ni taasisi ya kidini". "Cuf wanataka kuiongoza zanzibar kwa kushirikiana na uamusho". Ni maneno yaliyosema na mgonjwa jamani. Sijui Mungu atatukwamuua vipi/lini na hawa wagonjwa.
 
Mhhh, waombe radhi kwenye chombo chao wenyewe!! Sidhani wanaweza kufanya hivyo kwa uelewa wao.
 
Lukuvi anaonge sasa bungeni sijaelewa anajibu hoja alizotuumiwa jana na UKAWA, anachangia hoja kuuu au anajibu kama waziri wa nchi?

Sijaelewa lengo lake sasa ana dakika kumi na tano zaidi ya kumi kuu anatamba tuuuu.... sijamuelewa kabisa.


Mkuu muelewe tu, usimbague mgonjwa huyo.!Nafikiri huo ugonjwa wake anaouendea India unahusiana na kutoeleweka kwake kwenye kauli.
 
acha u......ga wewe kwani sasa hatutawaliwi na jeshi

rais--kanali wa jeshi
wakuu wa mikoa ----wanajeshi
wakuu wa wilaya-----wanajeshi

au wewe unaongelea jeshi gani??????

mku ungeanza mwanzo naripoti mandno ya lukuvi.,,kwhyo nandika km ripota
 
Mm ninazaidi ya miaka 50 nisengependa kuanza maisha nisiyozoea lazima jesh litachukua nchi tukiruhusu muundo wa serikali3 sbb jesh litashndwa kulipwa sbb serikali ya mungano haina vyanzo vyakipato,

So whaat!

Kama Una miaka 50 ndio sababu ya kutung'ang'aniza na aina ya muungano wa kipuuzi wa serikali mbili?

Basi omba serikali tatu zirudi maana msipozileta kwa HERI kuna watakao zitafuta kwa SHARI!!!

Hatuwezi kuwa tunang'ang'aniza aina ya muungano unaowanufaisha VIBAKA wa maliasili za nchi yetu!

MTANGANYIKA DAIMA!
 
Huyu lukuvi ni mbipi kweli badala ya kujibu hoja analeta mipasho ambayo haina mwelekeo.
 
Lukuvi anaonge sasa bungeni sijaelewa anajibu hoja alizotuumiwa jana na UKAWA, anachangia hoja kuuu au anajibu kama waziri wa nchi?

Sijaelewa lengo lake sasa ana dakika kumi na tano zaidi ya kumi kuu anatamba tuuuu.... sijamuelewa kabisa.

Lukuvi ana hofu sijui ya nini wakati the #hague ipo

katiba iko mezani itengenezwa kuondoa hizo hofu zake.
 
....wekeni kwa kifupi amnachoongea huyo mnyalu...

Katumia dakika 45
~kajibu tuhuma za jana kwa vijembe
~katuhumu sana malimu sef na uhamisho
~kasema lazima serikar 2
~anamheshimu sana mrema kwa hoj zake
~Amesema ni kweli alisema yale kanisani alituumiwa n.k

Kikubwa kumbe ni mgonjwa bhana anaelekea india sasa hivi walimuzui kuja kujibu hoja.
 
Mimi Naona misumari kwenye jeneza LA upinzani inazidi kupigiliwa.
Rest in ever burning hell UKAWA.Na mkija mtaani tunawako....jole......aaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom