atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kwahiyo marehemu Kanumba alikuwa anatembea na binti wa umri wa chini ya 18?,marehemu alikuwa na kesi ya kujibuThat is not a murder case. It's man slaughter. The bail is obvious.
Hafungwi.She was under 18 yrs during the incidence.
They were in love relations, The deceased himself call her at nite. No any weapon used.
Huyo mama kama alikuwa na mapenzi na mwanaye angemkataza asijiunge na freemason kama inavyosemekana.. Yeye alikuwa anachekelea umaarufu wa mwanaye bila hata kuhoji unatokea wapi.. Sasa ndio anaisoma namba.Vipi muhanga mama Kanumba aliyepoteza mwanae kipenzi na aliyekuwa akimtegemea? Naona pole zenu kwa Lulu tu
Sio kwamba baada ya tukio umri ulienda mbele ghafla?alishatangaza kafikisha miaka 18 kabla ya kifo cha kanumba na birthday party alifanya....ila baada ya lile tukio umri wake ulirudi nyuma ghafla
Mimi kwanza kabisa kitu nilichoshangaa ni kwamba lulu kipindi hicho alikuwa ni U18 halafu alikua bado mdogo sana kuvaa MINJEMBA mikubwa (ingawa simaanishi kanumba alikuwa NJEMBA) lakini fact ni kuamba alikuwa amemzidi mbali sana.nimejikuta najiuliza!
na huyo boyfriend ni nani?
NAAMBIWA NI ALLY KIBA!
msianze mambo yenu ya teams!
kulikuwa hakuna teams Enzi hiyo!
SO WAT IF LULU ALIKUWA ANAJILINDA NA KANUMBA ALIKUWA ANALAZIMISHA PENZI?
maana kama alikuwa mpenzi wake ,nini tafsiri ya "KWANINI UNAONGEA NA BOYFRIEND WAKO MBELE YANGU"
but najiuliza tena?
KWANINI KANUMBA AHOJI HILO?
means ALIKUWA NA SHARE ZAKE HAPO!
buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuut ILIKUWA NI MAKUBALIANO YA IT NEEDS TO REMAIN A BEHIND THE CLOSET THING BUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUT hakuna kuonyeshana maboyfriend wala magirlfriend!
MAANA KUMBUKUMBU ZANGU STEVE HAKUWAHI KUTAMBULISHA MWANAMKE IN PUBLIC !
mpk paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap LULU KAMUUA NA KUMBE ALIKUWA MPENZI WAKE!
aaaaaaaaaaaaaaargh!
THE VICTIM HAPA NI LULU ZAIDI KULIKO KANUMBA !hata kama yeye ndiye amefariki!
HAKA KATOTO KALIKUWA MOLESTED NA WATU AMBAO MAMA YAKE KWA MAKUSUDI AU BAHATI MBAYA ALIWAKABIDHI !
NATAMANI MAMA MTU NDIYE AWE MTUHUMIWA!
Hapana mwaka mmoja kabla 2011alifanya bonge la partyyyy kufika18Sio kwamba baada ya tukio umri ulienda mbele ghafla?
kabisa!Hii sentensi ya mwisho Dada nimekuelewa mnoo natamani huyu mama awe mtuhumiwa hata Mimi!
Kesi ya kwanza kbs kumkabili ni kutembea na mtt wa shule japokuwa alikuwa hasomiIngekuwa mbaya mnoo,jiulize kama angekuwa huyu ndo alikufa marehemu wa sasa angekuwa na mashtaka mangapi na upi ungekuwa mtazamo wa jamii dhidi yake?
Daaahhh!maneno mazitoo mnoo!kabisa!
HUYU MAMA NDIYE ANASTAHILI YOTE YALIYOMKUTA HUYU MTOTO!
mtoto wa miaka nane ,unamuacha na WANAUME BAKI(hao ndugu tu mtihani)
UNAMUACHA NA WANAUME BAKI!WANAKAA KAMBINI SIJUI KAMBINI ATI WANAIGIZA IGIZO!
LEO MIMI SIMUONI LULU KUWA NI TATIZO!
HUYU MTOTO ALIONEWA NA JAMII ILIYOMZUNGUKA!
HUKU CHENI HUKU RAY HUKU KANUMBA HUKU CHEKIBUDI HUKU MAMA ANAJIVUNIA AMEZAA MTOTO MZURI HAWEZI KUISHI KWA SHIDA !
walioishi tabata na huyu mama wataelewa ninachozungumza!
TO ME LULU NI VICTIM!
kanumba na wengine WALIMUUA HUYU MTOTO AKIWA HAI!
UNAPOINFLUENCE MTOTO ASISOME
UNAPOINFLUENCE MTOTO AONE MWILI WAKE NDIO MGODI WAKE
UNAPONFULENCE MTOTO ASIJALI UTU WA MWILI WALA NAFSI YAKE
COME TO THINKC OF WANAUME AMBAO LULU AMEWAHI KUWA NA MAHUSIANO NAO?
mimi na uzee wangu sipandi kwa mtu kama marehemu wa TOT!
HUYU ALIULIWA AKIWA HAI!
UNAPOUA NAFSI NA UTASHI WA MTU HUMBAIKIZI SALAMA!
SIONI AJABU YOYOTE YA HAYA YANAYOMKUTA!
NAUMIA KAMA MZAZI WA KIKE
NAUMIA KAMA MAMA WA MABINTI
NAUMIA KAMA MWALIMU
YATOSHA KABISA!Umeongea kwa satire ila kuna facts kuntu,mtoto alidhulumiwa sana huyu.Twaweza muhukumu leo hapa kwa dunia lakini huko kwa Mungu majuto yatakuwa mengi,jamii ilimdhulumu,marehemu alimdhulum,wazazi walimdhulum,mfumo ulimdhulum nk.Yatosha kuombana radhi na kuachana na mkondo wa sheria.
nakumbuka vizuri tu .....nadhan walishauriwa ili kujinasua ktk sekeseke hilo ni kupunguza umri tu, wacha waende rita faster kuchukua cheti kipya.[emoji2] [emoji2] [emoji2] tena mpk kwenye magazeti alijinadi kumbe una kumbuka eeeh!
Wa mtwara[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kafa sa hv
R.I.P Shebby
Mkuu Lulu alikua anapigwa hadi picha amezima Club kabla ya hilo tukio so hata Kanumba sidhan kama alikua mwanaume wake wa kwanza though kisheria haiwez kuwa uteteziLulu Mungu ampiganiee..!! Bhasi tu si vyema Kumuongelea vibaya Marehemu ilaa kama Kanumba kweli alikuwa anamlaa huyo mtoto hakika alikuwa mbakajii... na hapoo me sioni kesii maana tit for tat.. Na mama yake kama alijua lulu analiwaa hakika ni dhambi iliyopo juu yakee haiwezi kumuacha salamaa...
Pole sana Lulu...!!
Mwingine ni nani? Ccm mbele kwa mbele au Pasua kichwa?Alikua na mabwana wawili at the same time
Lulu Mungu ampiganiee..!! Bhasi tu si vyema Kumuongelea vibaya Marehemu ilaa kama Kanumba kweli alikuwa anamlaa huyo mtoto hakika alikuwa mbakajii... na hapoo me sioni kesii maana tit for tat.. Na mama yake kama alijua lulu analiwaa hakika ni dhambi iliyopo juu yakee haiwezi kumuacha salamaa...
Pole sana Lulu...!!
hiyo sio issue mbele ya mahakama kwa sasa! issue iliyopo mahakamani ni je,lulu ndie aliyesababisha kifo cha kanumba? je,ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka unatosha kumuunganisha lulu na kosa hilo?Kwanini Kanumba alitaka kutembea na binti ambaye alkua chini ya miaka 18?