Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

Hata mimi nilipoona hii habari nimekumbuka ziara ya Korea nikatafakari sana.
Maria Sarungi, Shangazi Fatma Karume na Martina Maranja wa
Bongo kina R Kelly wapo wengi sana sema bas tu hawawezi kuweka wazi maana hata vyombo vya kipelelezi/uchunguzi navyo vimejaa uozo mtupu
Na wanaharakati hata wakipiga kelele, sisi ndio tunawatetea akina R. Kelly.
Waaadhirika waklalamika tunawaambia walitaka wenyewe bila kupima mazinhira na umri au ushawishi wa wakayi huo.
 
Nachojua hata kama yeye ndio analipia mpka hoteli, as long as anahesabika kisheria ni mtoto. Una hatia.
Watoto walindwe kwanguvu zote.
Nashangaa sana eti sijui Pasaka kuna disko toto ,
!
Nashangaa Siku ya maulidi na Iddi kuna disco toto.
Nashangaa Christmas kuna disco toto.
Watoto wanacheza disco, ndio wanaingia umri wa balehe na kuvunja ungo, ukimshika maziwa u au kiuno analegea, anachezewa , anacheza blues na wazazi mnawapa rukhsa kabisa alafu baadae mnakuja kulalamikia Serikali?

ANGALIZO: Kama umewahi ama unawaza kumpa rukhsa mwanao aende Disco toto, basi unampeleka akafanye sex.
 
Dah, aisee sasa ni wasanii wangapi wa kike wanapigwa haya matukio na wanafurahia?
Akiwa mkubwa binafsi sioni kama ni shida sana maana ana uwezo mkubwa wa kupambanua mambo, mfano majizo akimla ruby ili EFM waplay nyimbo zake binafsi sioni kama ni tatizo maana ruby ni mtu mzima lkn Kwa underage apana aisee sio fair
 
Akiwa mkubwa binafsi sioni kama ni shida sana maana ana uwezo mkubwa wa kupambanua mambo, mfano majizo akimla ruby ili EFM waplay nyimbo zake binafsi sioni kama ni tatizo maana ruby ni mtu mzima lkn Kwa underage apana aisee sio fair
Yes, wanetu ndio wanafanyiwa vituo vya redio ama wanao ingia kwenye lebo fulani fulani maarufu hapa nchini.
Rubby amelalamika sana lakini ndio hivyo , jiulize sasa wafagizi, makarani na wahasibu kwenye vituo vyenye mabosi kama hao!
 
Mbona jamaa hakuwahi kushtakiwa kwa kosa la kukibaka hicho kitoto. Ama kweli fedha fedheha.
Si Nzi alifia kidondani?
Kumbuka hakuna mtu ambaye alijua kama ni wapenzi?
Hkuna aliyejua kama katoto kashatolewa bikra kakiwa kwenye vipindi.
Kumbuka kama ingefahamika jamaa angepewa kesi ya ubakaji.
huyu mtoto is smart, asilaumiwe maana aliubuniwa, alikuwa mdogo.
 
Binafsi sijui kosa ni la nani🤔🤔

Ila Kuna clip nliona lulu yupo na wazazi sio siku nyingi kiivo.....nashindwa kuelewa kwann walimruhusu awe freee mapema sana
Kosa la mtu mzima.
Believe me , mtoto chini ya miaka 18 hajui lolote, akidanganywa tu anaingia mkenge.
Fikiri nani alikuwa anamtoa nyumbani, kumpeleka ITV kipindi cha watoto wetu, kumrudisha, lazma ni wazazi wake na walimuamini Kanumba.
Sad.
#Nawashangaa wazazi wanamkabidhi mtoto "kwa mwalimu wa dini" hizi dini mhusika analawiti watoto 15.!
Mzazi anakabidhi katoto kake saluni ya kiume kasukwe rasta yeye anarudi after 3 hours.
 
Back
Top Bottom