Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

Kosa la mtu mzima.
Believe me , mtoto chini ya miaka 18 hajui lolote, akidanganywa tu anaingia mkenge.
Fikiri nani alikuwa anamtoa nyumbani, kumpeleka ITV kipindi cha watoto wetu, kumrudisha, lazma ni wazazi wake na walimuamini Kanumba.
Sad.
#Nawashangaa wazazi wanamkabidhi mtoto "kwa mwalimu wa dini" hizi dini mhusika analawiti watoto 15.!
Mzazi anakabidhi katoto kake saluni ya kiume kasukwe rasta yeye anarudi after 3 hours.
Miaka hii kulea watoto inahitaji commitment ya Hali ya juu sana, wazazi nao wamekua bize ule ukaribu na watoto wao umepungua Sana miaka sisi tunakua ilikua nadra kuskia matukio ya ajabu kuwakumba watoto...hata focus ya malezi ilikua kwa mtoto wa kike zaidi ila miaka hii ukizingua kidogo ushaharibu pakubwa
 
Back
Top Bottom