Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Huyu ni nani?
Caren au Carol?
 
inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!

nimeshindwa kufungua hii code! ni mchezo gani huo king kiba anaoucheza?
 
hauna hela mzee mwenye nazo haoni hasara kuzitumbua kwa kujaribu kurudi alipojia dunian
Ukishastaafu Utumishi na kuanza kuishi kwa Pension kama Mimi lazima utumie hela zako ki-Ubahili fulani maana hazikawii kuisha hasa zile za Mkupuo.

Hata hivyo Umri umetutupa Mkono, kwahiyo ukipata Mwanamke wa kustarehe naye huwi kama ulivyokuwa Kijana maana nguvu zimeisha hivyo kuishia kumchezea kwa mikono na ukifanikiwa kupanda juu basi ka-Moja, napo ukimaliza hamu yote imekata hadi baada ya miezi mingine kupita 😜
 
Dada Nifah ina wezekana unacho sema kina ukweli, lkn anglia madhara yanayo wezakutokea baada ya maandishi yako haya.
Mfano hawa watu wana watoto na wakatengana kwasababu tu ya haya maandishi yako, utajisikiaje?
mkuu yaani celebribities tena wa bongoflava waachane sababu ya maneno haya? Sisi watu wa makete ndani ndani ukute post kama hii inamuhusu mkeo, ndio vitaitishwa vikao hadi vya mizimu, ila sio hawa kina majizo.
 
Nifah unanikumbusha marehemu Warumi
Umetofautiana naye jinsia tu.


Inaonesha kama uliyoyadema kuhusu Lulu ni kweli, basi hajawahi kutulia na hatokaa atulie.
 
Majay ni Kufukua mtaro wa wanaume wenzie sa sijui naye anafukuliwa mi sitaki jua hata
 
Kwahiyo yeye anachakata kimya kimya then anaenda msikitini?
Hebu nipe hata watatu aliowachakata?
Uzuri ni mtoto wa kariakoo yule
Yes, kimyakimya mno ndio maana wakati Chibu anamtukana kwamba kamzidi kwa kuchakata tunaojua tulicheka sana.

Alikochakata Kiba miaka 5-6 ndio Chibu anachakata mida hii halafu anajiona mjanja!
Mfano Gigy, Kiba alishamaliza wakati ndio anaingia mjini, Chibu ndio anachakata saa hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…