Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Hivi ninyi mnaopenda mizigo ni kwamba huwa hamuangalii kabisa sura, mfano hata mwanamke akiwa na sura mbaya yani ile objective ugliness ila as long as ana mzigo, ninyi mnamuona mzuri na mnavutiwa naye tu siyo
Akiwa na zigo afu anatoa jicho ndo mnasemaga tumelogwa maana mlitegemea tuwe na pisi kali
 
Hahaha
 
Ndio maana nasisitiza waliopo mjini hapa watakubaliana na mimi kwamba nimesema ukweli kabisa.

Ila hiyo story ya jizo na tivu bado naona vigumu kukubaliana nayo, hata sijui nani ndio aniambie niamini!
 
Diamond anawakula kina jumalokole na Noel kama hana akili 🫣
 
Hivi ninyi mnaopenda mizigo ni kwamba huwa hamuangalii kabisa sura, mfano hata mwanamke akiwa na sura mbaya yani ile objective ugliness ila as long as ana mzigo, ninyi mnamuona mzuri na mnavutiwa naye tu siyo
Kwa utafiti wangu binafsi niliofanyia maeneo ya Kigogo, Mburahati hadi maeneo ya Mabibo ni kuwa makalio makubwa yanaondoa stress kwa mwanaume.
 
"Skills na connection za kupata wenza"

Ila ni hearsays tu za enzi hizo.. Sidhani kama kuna ukweli sana
Kama ndio hivyo mbona hakuna shida? Ni mambo ya kawaida hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…