The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Akiwa na zigo afu anatoa jicho ndo mnasemaga tumelogwa maana mlitegemea tuwe na pisi kaliHivi ninyi mnaopenda mizigo ni kwamba huwa hamuangalii kabisa sura, mfano hata mwanamke akiwa na sura mbaya yani ile objective ugliness ila as long as ana mzigo, ninyi mnamuona mzuri na mnavutiwa naye tu siyo