Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lahaula !!!! Kweli waliosema Siku moja Dar itakumbwa na mafuriko hawakukosea ni suala la muda tu
 
Ndio maana nikasema niliyoandika sio mapya kwa watoto wa mjini/wambea.

Washamba tu ndio wanaleta kelele hapa.
 
Wala hakuna la ajabu analofanya binti wa watu, umaarufu tu unamponza!

Wapo wanaofanya zaidi yake tena wengi, ni vile tu hawafahamiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…