Mbona threads zake zinatrend sana?Hakuna mtu anamhitaji Lucas mkuu, abadilike aende hata kwenye vijiwe vya kahawa alete habari za akina mzee Ally akipigana na mzee Jumbe hadi kuvuana msuli kisa kashata. Atapata watu.
HaswaBongo hii ni kujitakia shida tu Mkuu.
Mimi naandika tu bure atakayeamini sawa, asiyeamini shida zake mwenyewe.
dada yangu nifah nitamchukulia dhamanaElizabeth Michael and two others ( Salama Jabir@ Ali Kiba) versus Nifah and Jamii Forums Media.
In the Resident Magistrate Court of Dar Es Salaam at Kisutu.
Mbona threads zake zinatrend sana?
Ana wenzie Mkuu 🤣🤣🤣
Asante Mkuu, Nashukuru nilivuka salama ule mtego, japo kwa ku-struggle sana.Masikini baba yangu umepitia maisha magumu sana!
Pole…
Usijaribu sasa hivi maana utakutana na mabalaa pension itaisha yote!
Niffah we kiboko kumbe unajuwa kushusha ubuyu hv yaani cocastic haoni ndani kwa uandishi huuView attachment 2844883View attachment 2844884Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!
Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki?
Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu.
Lulu alienda kwa Kanumba waliyekuwa na miadi naye, na in fact yule (Kanumba) ndiye alikuwa mpenzi rasmi, huku Ali Kiba akila kisela kama kawaida, ila kwa mapenzi mazito!
Basi… ndipo Lulu kusikika akiongea kwa simu na mwanaume kimahaba, alipotakiwa kusema ni nani ndipo ukazuka ugomvi ulioliacha taifa na simanzi!
PENZI NI ZITO!
Jamani mnaambiwa hawa watu ni wanapendana kuliko mnavyoweza kufikiri! Yale mahaba ya Vee & Rotimi hayaoni ndani!
Na wanavyoyaendesha mapenzi yao wanajua wenyewe! Maana kila mmoja ni mkavu hadharani, mwanaume akatangulia kuoa, mwanamke nae akaolewa!
Ila wakutanapo moto huwaka! Nyasi huchanika!
Ni wanapendana hakuna mfano!
Najua mtajiuliza kama mimi nilivyojiuliza wakati nahakiki huu ubuyu, inawezekana vipi?
Yule Majizo ni mume rasmi tu wa hadhira, na huku Ali akiwa ameshatengana na mkewe Amina (japo talaka bado) hivi sasa akiwa na Babe Sherie, kote huko wanazuga tu.
Moyo wa Lulu uko kwa Ali Kiba, Ali nae Lulu ndio mwanamke wa maisha yake!
ACHANA NA SALAMA…
Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!
ACHANA NA NDAMA MUTOTO YA NG’OMBE!
Si mnaonaga Lulu anavyotuchamba “Catch the flight not the feelings “?
Ndio hivyo, akishapewa stress zake huko na mumewe au akiwa na shida zake za hela (Majizo bakhili)anamtafuta mubaba wake, anampandia ndege Ndama anaenda kutulizwa na kuondoka na maokoto yake.
ALI KIBA NDIO ZAIDI
Achana na hao woooote! Hakuna aliyeweza kusuuza moyo wa Lulu kama Ali Kiba. Ali ndio kiboko ya wote, mwanaume wa maisha yake!
Wanapeana nini? Sitaki kusema zaidi, ila wote inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!
Hayo ndio maisha ya mastaa na vimbwanga vyao!
Leo team kataa ndoa wataondoka na ushindi…
Wasalaam,
Nifah.
Mbona umeshikilia sana mimi kuolewa? Unataka kuwa mke mwenzangu nini hivyo kutokuolewa kwangu nakuchelewesha ama vipi?weedada dishilimeyumba.kamawalikuwa wanapendana kwanini hawakuoana?kipi kinawazuia wasioane?kwanini baada tu yakanumba kufa kiba asitangaze ndoa kwakuwa kizuizi kimeondoka?
mbona bilnasi baada ya ruge kufa chap akachukua demuwake?kiba yeyé alishindwa nini ndugu mwandishi?kanumba alivyokufa siangedaka chombo chake chapu?tungejua kweli wanapendana ila badalayake majizo ndio kaonyesha uthubutu huoni unatuhadaa?
wee dada hunaakili Labda wewe ndio unae firw.a achakuwaongelea watu umbea usiokuwepo.weemwenyewe unaliwa bure bilandoa naumezalishwa juu kazi kufatilia watu boya wee
ukiendelea naujuha huu utaliwa nakuzalishwa sana nandoa huioni kamwe
hauna hela mzee mwenye nazo haoni hasara kuzitumbua kwa kujaribu kurudi alipojia dunianRoho huwa inauma kutumia gharama kubwa then upate huduma hafifu........kwa kufanya hivyo walau moyo unatulia japo unakuwa umepoteza kiasi 🤗
Unafanya nini kwenye huu uzi? Nenda jukwaa la siasa au ujenzi.Acha kuharibu Ndoa za watu Mkuu.
HEKIMA NI JAMBO JEMA KULIKO UMBEA UNAOLETA HAPA JF.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sijakataa wako wengi..ila yeye na hao ndio swali langu kinawahusu wote?? Wana feel pride gani anymore?Wala hakuna la ajabu analofanya binti wa watu, umaarufu tu unamponza!
Wapo wanaofanya zaidi yake tena wengi, ni vile tu hawafahamiki!
Huyo unayemtaja nadhani ni mwingine. Huyu ni muuza chupi maarufu. Ana maduka hadi mkoaniHalafu kama nimeshamjua hiviiiii?
Yule mtoto chotara lakini mbona anafanana sana na marehemu baba yake huyo dada?
Kama ni yeye lakini… Huwa najiuliza sana!
Babu wew Ni hakimu moja kwa moja ama karaniElizabeth Michael and two others ( Salama Jabir@ Ali Kiba) versus Nifah and Jamii Forums Media.
In the Resident Magistrate Court of Dar Es Salaam at Kisutu.
Tamba shem 😘Ah weeee! Nina maisha poa sana sasa hivi.
Mpaka kichwa kimetulia nawaletea maubuyu kama hivi unavyoona.
Mapenzi ni tiba.
Atakuwa mzee wa barazaBabu wew Ni hakimu moja kwa moja ama karani
Penzi kikohoziIyo inajulikana kitambo lulu na alikiba walikuwa wapenzi 2009-2012, kumbe bado wanaendeleza kimya kimya duhhh