Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Tatizo hawa wanawake nyakati zao zikipita ndo basi. Wakati niko shule ya msingi nilikuwa nikiona sura ya Odemba kwenye tangazo la lotion nilikuwa nasisimka... nyakati hizohizo akatokea Hoyce Temu ikawa balaa. Nikiwa sekondari O - level ndo ikawa enzi za kina Nora, Sinta, Fiderine Iranga na Kajala. Tamaa yangu ikawaka sana juu yao. A - level nilikuwa bize sana na ndo ilikua Mr Blue kaanza kuvuma. Nikiwa Chuo ndo wakaibuka kina Wema, Uwoya na Kidoti.... katika maisha yangu nilijiambia kama kumtafuna Uwoya itanipeleka motoni acha niende tu. Yule mwanamke kwenye enzi zake alinivuruga mno. Kidoti hajawahi kunivuruga sana kwa sababu ya ukosefu wa chura. Kwa huu wakati tuliopo tamaa yangu iliwaka kwa yule socialite Sanchoka ila siku nimemwona mama yake LIVE ikabidi nitengue tamaa zangu na kutafakari upya.... yule mama enzi za ujana wake nadhani wazee walipambana sana kumpata.
Mama Sanchi nimekuona ukimuongelea mara nyingi sana, popote anaposifiwa mwanae huwa unaenda kumsifu mama yake 🤣🤣🤣
Naona ulimuelewa sana.
 
Wazee wengine unakuta wana ulimbukeni na kushika fedha nyingi kwa mara moja (Pension) ndiyo hujikuta wanaangukia humo.

Nashukuru Mungu, nilianza kushika vihela baada ya kuanza form V maana ile likizo ya kusubiri matokeo ya kidato cha IV niliitumia kuwekeza.

Shukrani kwa appreciation zako Mkuu
Pesheni 😁😁 imeleta balaa sana Ila endelea kutupa nasaha kama hizi

Pamoja sana mkuu
 
Inatia sana hasira japo watoto hawakukaa kidhembe japo kukosa kwao watoto nako ni tatizo kiasi mali lazma zihame kwenda familia zingine
Kizazi cha mzee kishapita na kazaa mabumunda ,pale top ten ya matajiri hawa weusi wasahau ..

Watoto wapo 40's ila wapo wapo acha pacha wale maisha ...
 
Back
Top Bottom