Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

Ila na ww, picha hamna kabisa,, umeandika utafikiri unawaona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmewapigia Magoti

Vipi kuhusu Maneno ya Polepole kuhusu Makontena.
 

Mungu aibariki Chichiem duuh!!
 
Lumumba pamekuwa White House Dodoma
Hahahaha
Wazee wamefuatwa Dar,wamegoma kwenda Dom

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Mkuu,
Watanzania sio wajinga kiasi mnachofikiria nyinyi .... ha ha ah ha ha ha ha ha ha ha ha !
 
Mkuu hata hujui story zao walienda kupigia ofisi ipi? Kweli wewe ni "Bwashee"
 
Hizo picha ulizotumia hazina uhusiano wowote na habari yenyewe ee.maana naona kwenye gari kavaa nguo tofauti na aliyokaa hapo ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada umejiridhisha kwamba hao makatibu wastaafu wameitikia wito huo White House Dodoma au Dar? BTW naona shati la Mangula ni pana sana hadi limempwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…