King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,307
- 2,754
Ila na ww, picha hamna kabisa,, umeandika utafikiri unawaona!Hakika CCM ni chama kikubwa.
Mapokezi ya mzee Kinana na mzee Makamba yamefana sana kwani wamepokelewa na viongozi wakuu wa chama mzee Mangula na Dr Bashiru na kukumbatiwa.
Mapokezi ya namna hii ni ya kipekee kabisa hapa duniani kwa watu walioitwa kuhojiwa kwa tuhuma za matatizo ya nidhamu.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CCM
Maendeleo hayana vyama!
Sent using Jamii Forums mobile app