Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Wajinga sana hawa jamaaWapiga ramli hao. Kila wakati wanamuombea mabaya JPM
Amichelewa kama wale waliochelewa jana ''shamba la bibi'' wakafukuzwa. Mungu kweli anajuakuweka mambo sawaHukuwa na subra tu, ameshafika.
Yap. Upo sawa. Shein hakuwepo kwenye ratiba. Kuna kitu Magufuli hayupo sawa,hata kuja imebidi aje tu kwa vile yeye ndo Rais na asingetokea watu wangesema sana.Kuna taharuki fulani inayoashiria kuna jambo. Podium ilipoletwa alitakiwa aongee yeye, ikabidi aitwe Shein, Shein alipomaliza muongoza shughuli alitangaza kuwa Rais anatakiwa aongee, walinzi wakampa ishara aache kwanza lakini Mzee akasimama akawaita wastaafu Kikwete na Mwinyi.
Kikwete akazungumza japo kwa utani ila alimaanisha “Mheshimiwa Rais tuwe tunapeana taarifa kabla.”
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atang’amua jambo.
Hahaha ndio nini hiki?!Wajayat wanaojua umuhimu wa elimu wanaendelea kupiga kitabu na wanaendelea kufurahia miondombinu ikiwepo sekondari ya yatokayo na maafa ya tetemeko.
Hivi mzee anajua anachoongea? Je Kama Mkapa alikuwa mchapa kazi na hakuwa na masihara na kazi,kwanini hakutaka aongezewe miaka Kama anavyofanya Sasa kwa magufuliSawa tu, mleta uzi alimtaka Magufuli awepo, na hilo limetimia.
Uzi ufutwe sasa.
Amefika lupaso hata G Sam kumbe anampenda JPMUna nini?Nipe ubuyu basi.
Inaonekana leo hatasimama kuongea kwa muda mrefu. Maana ilikuwa aongee naona kasimama kampa Kikwete aongee then atafuatia Mwinyi. Naona yeye atamalizia kidogo tu mwishoni.
Kwa ninavyoona hapa Rais Magufuli hayupo sawa na hii imekuwa inajirudia rudia hasa mara ya mwisho alipotoka pia Ruangwa kimya kimya tena kwa helicopter ya jeshi!
Huwa anajikaza kisabuni lakini lipo jambo hasa leo! Haiwezekani achelewe hivyo. Nasema haiwezekani na si kawaida kwa shughuli kama ya leo na jinsi alivyokuwa nayo siku mbili zilizopita.
Kuna taharuki fulani inayoashiria kuna jambo. Podium ilipoletwa alitakiwa aongee yeye, ikabidi aitwe Shein, Shein alipomaliza muongoza shughuli alitangaza kuwa Rais anatakiwa aongee, walinzi wakampa ishara aache kwanza lakini Mzee akasimama akawaita wastaafu Kikwete na Mwinyi.
Kikwete akazungumza japo kwa utani ila alimaanisha “Mheshimiwa Rais tuwe tunapeana taarifa kabla....”
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atang’amua jambo...
Umemuona eeeh alianza kuchomekea ya kumuongezea muda Magufuli.Huyo mwinyi wamtoe tu cjui anaongea nn.......
Asije akaanza kusema tena dikteta aongezewe muda huku akilenga mwanaye km analazikisha kua rais wa zanzibar
Kwa taarifa yako wasiompenda jiwe ni wanaccm baada ya jamaa kukifanya chama mali yake binafsi hakuna wa kuhoji chochote.Hahahaha Bawacha sasa sijui watasema nini maana Rais anaongea sasa ....sijui watajadili nini hahahahah
wote hatukuwepo, so hatujui kama ni uzushi au la.Sasa uoni uzushi tu huo?! Kakaa ndani ya gari, kazungukwa na walinzi wake, halafu aanguke?!