Mkuu rais amechelewa kwa masaa Kama manne hivi shida ilikuwa nini?Kuna nyuzi za kukurupuka baada ya mwisho wa siku huwa ni za aibu kwa walenda nyuzi
Ila atakuwa ameweka record ya kuchelewa.Mungu ni mwema Rais mzima wa afya na ameshafika msibani. Wale manabii na watabiri mabaya sijui hali zao zikoje huko waliko
Kutakuwa na sababu ya msingi sana ya kuchelewa kwake. Huyo ni kiongozi wa nchi na mambo ni mengi.Ila atakuwa ameweka record ya kuchelewa.
Hahahaha mkuu,you won't be serious,Kama Mambo ni mengi ukiwa na akili unadelegete powerKutakuwa na sababu ya msingi sana ya kuchelewa kwake. Huyo ni kiongozi wa nchi na mambo ni mengi.
Mengine yanamhusu yeye tu. Ila pia naye umri umeenda na mambo ni mengi na mshtuko wa kufiwa na mentor na yote yaambatanayo na umri wake. Hata hivyo amejitahidi sana.Hahahaha mkuu,you won't be serious,Kama Mambo ni mengi ukiwa na akili unadelegete power
I am so sorry for you.huyu hawezi ,anazidiwa na mwanamama? She was there on timeMengine yanamhusu yeye tu. Ila pia naye umri umeenda na mambo ni mengi na mshtuko wa kufiwa na mentor na yote yaambatanayo na umri wake. Hata hivyo amejitahidi sana.
Hahaha mkuu umemaliza kabisa. Maana yule mama msaidizi mpaka aamke ajiandae kwa kujipodoa. Ni kawaida ya mama zetu kuwa warembo. Bado tu aisee. Ila nasema alikuwa na issue muhimu au hata kuchoka. Msiba mzito huu kwake please.I am so sorry for you.huyu hawezi ,anazidiwa na mwanamama? She was there on time
Lisu na LowasaKuna walitaka kusikia jiwe kadanja. Ufipa imejaa mbatata kiasi hiki? Hivi unamuombea mtu kufa, wewe unajua utaishi miaka mingapi?
Account ipo dormant, Twitter wamepiga banned kwa mda ndo inaonyesha ivoHivi yule mzushi Kigogo2014 aliisha dakwa nini, siku hizi dish lake halioni mbali kabisa?!
Basi mwenye nayo ameshajulikana.Account ipo dormant, Twitter wamepiga banned kwa mda ndo inaonyesha ivo
Ngoja tuone maana great thinker alituma inbox message alizo chat na kigogo2014 kuwa anarudi online ngoja tuone mwezi ujao. Angeshikwa tungemskia IGP & waziri wakiongeaBasi mwenye nayo ameshajulikana.
You are G T
Yani watu Wana roho mbaya Sana, kaa unamwombea binadam mwenzako mabaya as if utaushi mileleNaona mmeamua kubadili gia angani ha ha ha, kutoka kwenye rais kutofika msibani mpk kunong'ona.....acheni roho mbaya muishi kwa amani na raha wakuu.
Hahahaha, Mkuu hii JF ya sasa inapoteza makaliNaona mmeamua kubadili gia angani ha ha ha, kutoka kwenye rais kutofika msibani mpk kunong'ona.....acheni roho mbaya muishi kwa amani na raha wakuu.
Gooda ooh. (si unajua tena mambo ya kinaijeria)Dah basi mama yetu mpendwa samia akae stendby. It will be the greatest gift of all to the neshen