Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Usikute mama na shangazi zao sasa nao wamefanya wanachoweza.

Jeuri dawa yake kiburi
Kafara za Bashite zinamwewesesha sana, ujue waganga 66 waliopo kwa Bashite siyo wachache wanahaha vibaya sana
 
Naamini atakuwepo tu, tusubirie muda wa maziko ufike. Atakuja kuweka shada la maua na kuondoka.
 
Ndoto ya covid 19 si bora uweke wazi ili waziri wa Afya azinduke apige marufuku Salam za kushikana mikono watu waanze kunawa mikono kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono kwa ile speed ya mwezi March April
 
MC ametangaza kuwa muda wowote Rais anaingia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…