Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Kwa mujibu wa Le mutuz na cyprian Musiba, Bashite anahaha sana wamempelekea utitiri wa wanganga wa kienyeji wamsaidie kupata cheo kingine kikubwa endapo jina halitarejea Kigamboni.
 
Kwa mujibu wa Le mutuz na cyprian Musiba

Bashite anahaha sana wamempelekea utitiri wa wanganga wa kienyeji wamsaidie kupata cheo kingine kikubwa endapo jina halitarejea Kigamboni
Hahahahaha akawe mkuu wa mkoa katavi
 
Kashindwe na ulegee wewe wakala wa lusiferi. Mh Rais JPM ni mtu anaye maanisha anachoongea na kilicho ujaza moyo wake. Anapokuambia anajali watu wa hali ya chini jua ana maanisha hivyo kweli si kinafiki.

Ndio maana ameona ni vema umati wa watu wa chini na maskini wapiate fursa ya kupita na kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao. Mpaka sasa tangu zoezi hili liaanze zaidi 11,000 wamesha pita. Si limbukeni Huyu wa mambo ya kukutana nayo ukubwani.
 
Utafiti wa TWAWEZA ulikua ni kweli.
 
Wanasiasa karibu wote lazima watie mguu kilingeni kwa waganga

Kuna mbunge mmoja namjua kaoa mganga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…